Whats so special na Rose Garden?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Naona mji huu sasa hakuna kijana asiyekunywa

lakini I always fail to see the appeal ya RG...sana sana pako kama kwa macheni pale mapipa unless kuna mtu anaweza kunifumbua macho na kinachovutia watu kule RG

anyone
 
1): Cloud puller: Kila mtu anataka kwenda pale kusoha jina na kuonekana yupo mjini. Samaki Samakai ya Mlimani City nayo ni design hii, lakini pale ni pa mabishoo zaidi!!!!

2) Vyangudoa: hasa kwa vijana, wako wa kumwaga, ni pesa yako tu

3) MIchemsho na supu ya kumwaga, utakimbiliwa sana (jihadhani na kuongezewa bill)

4): Pana jina: FULL STOP
 
wahudumu wao wakike/wakiume wana care sana.otherwise ni watu kupazoea tu sijaona jipya.
 
1): Cloud puller: Kila mtu anataka kwenda pale kusoha jina na kuonekana yupo mjini. Samaki Samakai ya Mlimani City nayo ni design hii, lakini pale ni pa mabishoo zaidi!!!!

2) Vyangudoa: hasa kwa vijana, wako wa kumwaga, ni pesa yako tu

3) MIchemsho na supu ya kumwaga, utakimbiliwa sana (jihadhani na kuongezewa bill)

4): Pana jina: FULL STOP
Kuna mtu aliwahisema kuwa ni
Kijiwe cha umbeya! Kila umbeya wa jiji hili, maceleb wote wa kisiasa n.k utaupata pale.
 
Licha ya kua facebook aka kijiwe cha watu maarufu jijini. pia kuna parking ya magari nzuri yenye ulinzi na car washers hivyo wengi huacha magari pale na kutokomea guest bubu. ndo maana cku zote rate ya magari kwenye park ni mengi hata ndani kukiwa na watu kidogo. so ladies n gents ukioa gari la mwenza lipo pale uje kashaliwa ni sawa na ukiona manyoya ya kuku........
 
Hii ni funga mwaka!:A S embarassed:
 
Mi nadhani mnasahau kitu kimoja kuhusu convenience. Mfano nimesoma mlimani na nilikuwa nakaa mitaa ya Sayansi baada ya kumaliza chuo. I can say Rose Garden ilikuwa karibu na ninapoishi. Kwamba kuna macelebrities..well..wengine hapa ni watoto wa wakulima hata huo ucelebrity hatuujui zaidi ya kwenda pale unakula kokoto yako na bia zako then unasepa. Ni kama Brake point.......... Kama unakaa knyama ni sehemu convenient. I would say the same pale chagga bites kipindi cha nyuma. Kwa wale wanywaji..utagundua kwamba wengi wetu tunapenda kunywea viwanja vya 'nyumbani' mtu anaishi Tabata..ni mara chache umkute anakunywa Mwenge au Mikocheni...kama hana usafiri wa kuaminika.

Halafu tukubali, Tanzania sehemu nyingi swala la customer care ni bure! Peronally kuna bar nyingi za Sinza siwezi kwenda. Utalipa hela yako lakini ajabu ualetewa glasi chafu au yenye maji haijaoshwa vizuri!..kwa kulinganisha..RG is much much better...
 
Wabeja sana mwana-Masanja!

Hakuna baa hapa Dar es Salaam yenye wahudumu wachangamfu na wanaojali wateja kama Rose Garden ... Yeah... Naona wengine wanatoa macho na kujiuliza ninawezaje kujua baa zote za Dar es Salaam? Jibu ni rahisi - Mimi ni Mtafiti wa Sehemu za Starehe!
 
1): Cloud puller: Kila mtu anataka kwenda pale kusoha jina na kuonekana yupo mjini. Samaki Samakai ya Mlimani City nayo ni design hii, lakini pale ni pa mabishoo zaidi!!!!

2) Vyangudoa: hasa kwa vijana, wako wa kumwaga, ni pesa yako tu

3) MIchemsho na supu ya kumwaga, utakimbiliwa sana (jihadhani na kuongezewa bill)

4): Pana jina: FULL STOP

Yeah! Ni sababu za ukweli hizo. Ila kwangu mimi that place toka imefunguliwa I have been there not more than five times, tena kwenye vikao vya harusi. Sipazimii kwakweli though mlatie ni ndugu yangu
 
Licha ya kua facebook aka kijiwe cha watu maarufu jijini. pia kuna parking ya magari nzuri yenye ulinzi na car washers hivyo wengi huacha magari pale na kutokomea guest bubu. ndo maana cku zote rate ya magari kwenye park ni mengi hata ndani kukiwa na watu kidogo. so ladies n gents ukioa gari la mwenza lipo pale uje kashaliwa ni sawa na ukiona manyoya ya kuku........

Mkuu pale magari yanageuka gesti inapofika usiku. Unakula mzigo ndani ya Toyota Noah na mmasai analinda nje kwa buku tu.
 
Bustani ya rose...!

kuosha macho
kunywa bia
kuosha gari
parking kubwa
totoz
misosi varieties
usafi ukilinganisha na bar zingine
 
Bila kusahau utakutana na;
% Bashe
% Serukamba aka Seru~rope...
% Masha
% Benno Malisa
% Mbonie Masimba aka Mrs Etoo/Mrs Fally
% Dr. Sebastian Ndege
na list ndefu ...etc...
 
Back
Top Bottom