Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 13,068
- 30,641
- Thread starter
- #121
May be just a mild one for me,
What would you want to set on fire?I don't want it setting my mouth on fire!
May be just a mild one for me,
What would you want to set on fire?I don't want it setting my mouth on fire!
Sawa kijana wa makamo🤣Sijawa mkali popote! Ubabu sio kitu kibaya. Nilikuuliza kwanini unahisi mimi ni Babu, hujataka kujibu! 😁
Why 💔?she doesnt know that.
So true, thank you for sharing this mzee mwenzangu 🙏Kila mtu hapa duniani anapitia jambo fulani, liwe rahisi au gumu, baya au zuri. Kila mmoja anacho kitu anapitia.
So, relax..just relax!!! Nimejifunza hivyo.!!
Sawa kijana wa makamo🤣
Mapenzi hayatabiriki na bila pesa hawathaminiki.Why 💔?
Sawa, nitafsirie. 😊
Hapana hazina maana moja; Mfano halisi:Nimecheka sanaaa😁😁
Hivi hizo Dad si zina maana moja 🤣 kuna tofauti kweli dear sister ?
Let's get the date sorted,
No 1 ni ya baba hasaHapana hazina maana moja; Mfano halisi:
1. Oh Dad, I'm coming
2. Oooh Dadddy, I'm coming
Ipi hapo ni ni ya baba mzazi na ipi ni ya baba watoto?
Hongera kwa kuingia kwenye kilimo cha ufuta mkuu. 😁Let's get the date sorted,
The rest will be history.
Coming from where?Hapana hazina maana moja; Mfano halisi:
1. Oh Dad, I'm coming
2. Oooh Dadddy, I'm coming
Ipi hapo ni ni ya baba mzazi na ipi ni ya baba watoto?
🤣🤣🤣Coming from where?
Or u meant kileleni?
Acha niendelee kutupia mbegu shambani mkuu,Hongera kwa kuingia kwenye kilimo cha ufuta mkuu. 😁
Ufuta ni dili mkuu, sema unaweza kuta ekari moja ukapata gunia moja tuu. 😁Acha niendelee kutupia mbegu shambani mkuu,
Naiona kabisa dalili ya mavuno bora ya msimu.
Next episode 😆 James kajaa kwenye mfumo!Hapo James anaitwa akalale,, lakini ni kama hataaki vile.........
Yaaani analeta zile nibembeleze kwanza!!!!!!
Nasubiri clip ijayo je James atachomoa au ataelekea kibla???
Kwako Binti wa zamani anaza kilipu
What are you waiting for 😂 ?Let's get the date sorted,
The rest will be history.
Walevi huwa mna vingereza flani hivi hadi vina accent ya kimarekani.Kutema yai mpka nilewe.
Huu ni mwezi wa pili sijaingiza kilevi chochote
Sana,, halafu mlevi akiwa ni ke hata kama ni mzee anaanza na kuibebisha sautiWalevi huwa mna vingereza flani hivi hadi vina accent ya kimarekani.
Na mnavyojua kuongea kwa sauti sasa, baa nzima mnasikika nyie tu na ung'eng'e wenu 😂