What's Leadership

Eyes_blogger

Senior Member
Nov 30, 2016
115
81
John Hagai katika kitabu cha LEAD ON page number 4 anasema Leadership is the discipline of deliberately exerting special influence within a group to move forward goals.... Etc...
Nimeona kauli za Raisi wa Tanzania akiongea kule kagera akaongea tena shinyanga nikajiuliza hivi huyu Ana DISCIPLINE?? kama kiongoz maana true leadership is a discipline but nachelewa kuelewa kwa huyu Raisi what's going on in his mind.... Leo viongoz wa dini wanatoa Matamko kw maandishi juu ya taharuki ya njaa nchini sasa najiuliza huyu Raisi hivi yeye ndio anaijua sana Tanzania kiliko watanzania wenyewe??? Au anadhani pale ikulu atakaa Milele .....ila Mungu Anaona Haya kwakua alisema katika kampen zake 2015 kua anatetea wanyonge na hii ndio hali ya kutetea wanyonge Ahsante. Time will tell 2020 hata iwe mbali itafika tu. Ila Utajua mbivu na Mbichi kama zile kauli ulizotoa ukajipa cheo cha WHO ukasahau wewe ni Raisi wa watanzania


1484399274156.jpg
 
Back
Top Bottom