What would you do if...........

I love 24 pia. Umeshaiona fringe? It is also a great movie. My favourite character kwenye D.Housewives ni Garbie, napenda ujingajinga wake! Ninamfananisha na mtu humu JF!


hahahaha..... Garbie is ka drama queen...lol... Mimi nampenda Suzy na vimbwenga vya Lynette na the hubby (unakumbuka ile idea ya kusema Lynette aende kazini alafu yeye abaki? I was Lmao)
 
jamani SL long time no see,na kumiss ki aina flan,hujambo?
Sijambo Bishanga, jana nilikuona mahali nikajipitisha lakini ukajifanya kunivalia mawani ya mbao!...nikaona isiwe tabu wacha nijiweke pembeni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom