What would you do if Aliens invaded earth?

nitawaangalia....nitashangaa spaceship yao....na nitataka kujua wanaongeajeongeaje.....
 
mi nikutafuta visa tu ya safari, nikashangae mbele kwa mbele

anyway unanikumbusha ile kitu ya "Bettleship" bonge la muvi la eksheini.
 
Back
Top Bottom