🤣🤣🤣🤣🤣 Hii Ni Kali aiseeKama wa2 waliomzunguka ndio Hawa unategemea nini?View attachment 1629776
Kijana inaonekana akli yake haijatulia , alipotoka WCB alikuwa hajawa confused Sana , baada ya mda inaonekana alipata washauri wengne possibly hata maswala ya ushirikina , (kuna mda aliimba kwamba wenzake wanamroga )amekuwa confused Sana mda mwingi anaimba kujihami, anachoimba kwa sasa ni yale anayowaza na kufikria most of the time .... Kuambiwa kuwa yeye ni level moja na Diamond kunamfanya afanye vitu ili kuuaminisha uma kwamba huenda ni kweli mwisho vinakuwa oversize na vinakuwa out of control.....Hivyo nilidhani hili nimeliona peke yangu, nilikuwa kwa safari juzi wakawa wana play nyimbo za Harmonize, za toka kipindi anaanza music dabliusibi,
Nyimbo ni nzuri na una feel that taste kabisa, zilipoanza nyimbo zake za hivi karibuni, hapo ndiyo nikaona tofauti kubwa sana ya Harmo wa sasa na wa zamani hata kwenye mashairi tu..!
I asked myself the same question, mshkaji anakwama wapi.?
Kweli kabisa, hata diamond tangu alivyotoa ule wimbo wa ccm 2015 yani ameshuka sana maana now hata wimbo hana unaokiki naskia amerudi kwao kigoma huko.. Dah!Ukisha jinasibisha na CCM lazima uanguke.
Na wewe ni hater kwelikweli wa WCBDharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.
Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujilikana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa, hata diamond tangu alivyotoa ule wimbi wa ccm 2015 yani ameshuka sana maana now hata wimbo hana unaokiki naskia amerudi kwao kigoma huko.. Dah!
Mgahawa Uliidhie karume stadium...[emoji848][emoji848][emoji848] sisi wa mbagala hatujawahi uona.Mgahawa unaotembeaa kwa nyie wa dar bado mnahudumiwa ?
Buza, hatujaona mgahawa..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mbona Harmonize bado yuko juu tu, unaishi Dar Es Salaam ya wapi kijana?
SAFI SANA MKUU JAMAA UJUAJI MWINGIAnaweza Kuwa ka post hivi kwa MAPENZI ya mziki ila Pia anatimiza wajibu wake na shughuli zake kama kawaida....
Kila mtu ana hobby yake, anayoyafanya kama burudani baada ya kazi, inawezekana anapenda mziki... ana haki ya ku comment!
Usiwe mjuaji sana, hategemei kitu kutoka kwa wasanii, a napenda burudani! Wewe unapata nini kushabikia Manchester?
Nina hakika mwenye post ana maisha mazuri kuliko wewe hapoMkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.
Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.
Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.
Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Tulikula mara moja tu pale karume na gari likauzwaMgahawa unaotembeaa kwa nyie wa dar bado mnahudumiwa ?
Harmoniz hana ukali wowote ni kama Kiba tu,Hili ndio lile tamasha alilo lisema atafanya siku tatu mfululizo uwanja wa Uhuru.?
Hapo awali alisema atakuwa analisha chakula mara kwa mara ,akaanzia Karume baadaye kimya.
Akasema nitafanya show uwanja wa uhuru May 27,kimya ndio akaja na hii ya show siku tatu mfululizo Uhuru mwezi huu wa November.
Bado akanzisha Label na kutambulisha wasanii watatu,hao wote awapromoti bado na yy ajipromoti na kila siku anatoa nyimbo yy.
Wakati anazindua album alisema video zote 18 zipi tayari lkn mpaka sasa kimya wakati mule kwenye album yake ana nyimbo nzuri mfano Malaika na Rhumba baada ya kuzipromoti anatoa nyimbo hizi za mafumbo.
Atulize kichwa apangilie mambo yake mimi na amini yy ni mkali ila tatizo lake anakurupuka,akifanya masihala mziki utamshinda.
Kwangu mimi dogo bado mzuri,ila kadri siku zinavyo enda anazidi kupoteza focus,yaani siku hizi amekuwa mtu wa kukurupuka,hajipangi kila analolipanga haliendi na ndio maana anaishia kulalamika.Harmoniz hana ukali wowote ni kama Kiba tu,
Yani hapo walipo ndio uwezo wao ulipoishia.