What went wrong at Clouds Media?

Alafu mbona Kuna aina nyingi tuu za Muziki hapa hatuwasikii wakilalamika.... Wanamuziki wa Dansi na Taarab mbona wapo Kimya Wanafanya show zao maisha yanaenda Kila kukicha na hawa hawa tuu C waachane na hiyo Redio?

asili na mfumo wa kupata soko kwa muziki wa kizazi kipya unategemea sana Radio na sikum izi kidogo TV,,,,so usilinganishe vitu ambavyo havifanani iyo taarabu lilikuwapo kabla ata wanaoimba hawaijui mic.
no radios no muziki wa kizazi kipya coz ata blog zimejaribu kuchukua nafasi zimeshindwa.
 
Nyinyi Mnaojifanya Hamsikilizi Clouds Ikija ishu hapa Mna information zote Sasa hata hatuwaelewi Hamsikilizi kbs au Mnasikiliza kidogo hapa ndo mnaponipa tabu.

source kubwa ya kinachoendelea SA ni clouds kupitia kwa Milard Ayo na anawezeshwa na hao hao wanaowachukia.wengi hapa ni wanafiki muda wote wanasikiliza updates ambazo chanzo chake kikuu ni clouds.wanafiki wakubwa
 
Nyinyi Mnaojifanya Hamsikilizi Clouds Ikija ishu hapa Mna information zote Sasa hata hatuwaelewi Hamsikilizi kbs au Mnasikiliza kidogo hapa ndo mnaponipa tabu.

Na bado tabu utapata sana tu mwaka huu.
 
Nyinyi Mnaojifanya Hamsikilizi Clouds Ikija ishu hapa Mna information zote Sasa hata hatuwaelewi Hamsikilizi kbs au Mnasikiliza kidogo hapa ndo mnaponipa tabu.

Na bado tabu utapata sana tu mwaka huu.!!!!!!!!
Sina time na hiyo redio kabisaa...ni wanyonyaj wa wasanii wetu.
Unafananisha dansi na taarabu?unajua idadi ua vikund vyote hivyo ukilinganisha na msanii mmoja mmoja wa bongo fleva?
Ukijiua takwimu unaweza ukafikiria mara mbil nini unachokiongea.
 
Tatizo hawa Jamaa wamehodhi sanaa nzima kuna chama cha wasanii Tanzania wao WAFUFM wamejiingiza kama nao ni wasanii kuna mashirikisho ya wasanii nao wamo sugu aliweka kongamano tuu nao wakaitisha konganano lao rais alitoa studio iwasaidie wasanii mpaka leo Ruge kahodhi kama yake na tht, wana kampuni ya kuuza kazi za wasanii kufanya matamasha makubwa na kuwalipa kiduchu wasanii kwa kusingizio cha kupromot music kufanya matamasha radio na tv zao pamoja na propaganda za kuua aina ya music usiotokana na kituo chao cha tht wakilazimisha wasanii wafuate mfumo huo kama hutaki husikiki tena wala wimbo wako hautapigwa WAFUFM yote hayo wameumiza wengi sana kumbuka music ni Sehemu ya maisha ya watu huwezi kubadili hili so wengi wa wasanii ni wahanga lakini hawana nguvu ya pamoja kusema haya mpaka mkongwe Sugu alipoanza harakati hizi Ndipo wengi wanajitokeza naamini Haya ya kunyonya wasanii kuwalipa kiduchu kwenye kazi zao za matamasha yatakwisha kwa kusemea ukweli huu bila SONI. Lakini kubwa ni clouds media na kampuni zao zote tanzu waache kuhodhi sanaa ya music kana kwamba nao ni wanamuziki.
 
Hivi Tanzania redio ni Clouds tuu najiuliza kama clouds inanyonya wasanii kwann wasipeleke Times, Magic, Redio one, RFA, KISS, EA RADIO ili clouds ipotee? Kwann bado wasanii waendelee kuing'ang'ania tuu?
 

Samahani kwa lugha kama utaudhi:

Condom ya dukani sio sawa na condom iliyotumika!

Ukishamnyonya mtu ukiridhika unambwaga unatafuta anaenyonyeka!

Hao unaowataja wape muda kidogo tu utasikia!

5 wanazopata zinawadanganya wakati wanadeserve kupata 20



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tatizo ni kwamba kila msanii hajisikii kama msanii hadi nyimbo zake zipigwe Clouds FM! Na zisipopigwa, inaanza nongwa lakini zisipopigwa radio nyingine; hakuna tatizo provided Clouds zinapigwa....huu ni upumbavu!
 
Na mimi uwa sisupport unyonyaji lakin hapa uwa sielewi naona kama wao ndo wanaikuza hii redio cz ni kama wanalazimisha ipige nyimbo zao halaf zisipopigwa inakua ugomvi sasa hili naona kama ajabu kdgo
 
Tatizo ni kwamba kila msanii hajisikii kama msanii hadi nyimbo zake zipigwe Clouds FM! Na zisipopigwa, inaanza nongwa lakini zisipopigwa radio nyingine; hakuna tatizo provided Clouds zinapigwa....huu ni upumbavu!

na huu Ndio ujinga wao, na hapo jamaa Ndio wanawapiga hapo hapo....
 
Kwa mtu asiyejua huu unyonyaji anaweza kudhani wasanii wanalalamikia nyimbo zao kutokupigwa. Baadhi ya wasanii wanalalamika fitna wanazofanyia kwa kukataa kuwa chini yao. Utashangaa ukumbi uliobook kufanyia shoo unaambiwa siku chache kabla ya show uhame. Siku uliyoandaa kupiga show zitaandaliwa show zingine kama 30 hivi. Wasanii uliokubaliana nao kusupport show yako wanageuka dakika za mwishoni. Ukiwafata wadhamini mkakubaliana nao muda mfupi baadaye wanacunja mkataba. Unyonyaji ni zaidi ya nyimbo kutokupigwa radioni.
 
Product saturation

hakuna kipya

Kusaga na ubosi wake wote naye yumo kwenye petty politics za akina Ruge vs Jide

About time JK aka revamp the entire thing na ikiwezekana auze shares ili hii headache aiache kwa ma shareholders
 

you nailed it! Kula like kuuuubwa! Issue hapa ni mfumo, jamaa wamehodhi system! Nafurahi kuona jamii imefunguka ile ya jide itakuwa imewafungua macho! Sisi ndio walaji tulishe tunachopenda usitulazimishe!
 

CLOUDS IS LOOSING ITS POPULARITY....kwa sababu wana watangazaji wa ajabu ajabu ambao kama wana akili za kitoto kitoto...ukiacha ayo, husein labda na jamaa wa michezo wale...wengine wanatia mashaka kwenye uwezo wao wa kuangalia na kuchambua mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…