What the hell is going on here?

What the hell is going on here?

Mbona fresh tu, siyo kila mahali iwe ushungi na dera.
 
dunia Ina unafiki sana,

mtu anaweza kuapa kwa kutumia katiba na kuahidi kuilinda na kuitetea, baada ya muda mfupi, akaanza kuiita ni "kijitabu" .

mtu anaweza sema anailinda nchi mpaka kufa, ila wakati huo huo "anaigawa" kwa wajomba zake.

yaani ...
Wewe unajielewa sana achana na Hawa mapimbi na machawa!
 
Back
Top Bottom