What should I do to get more likes in JamiiForums?

Mkuu Nifah hivi mbona maana ya neno kapuku ambayo Mimi nilikuwa nikiijua toka miaka kenda naona iko tofauti kabisa na maana ya kapuku ya wana JF.??

Maana ya neno kapuku niliyokuwa nikiijua ni kuwa kapuku ni mtu masikini wa kutupwa, yaani mtu asiye na kitu kabisa...kitu ambacho ni tofauti na wana JF ambao wengi mnaonekana kuwa njema kifikra mpaka kiuchumi.

Ufafanuzi Tafadhali juu ya maana ya neno kapuku.
Jiunge na makapuku,kule kuna likes za kumwaga.
Hii inadhihirishwa na wanaoongoza kwa likes humu (list) wengi wao ni makapuku.
 
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?

2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?

3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?

NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
Tanzania ya Vi wonder on fleek
 
Vuguvugu la likes lilianzia kwa jamaa mmoja Rais wa makapuku Avatar yake alikuwa tembo anacheza amevaa mlegezo.
Jamaa Kuna siku alilalamika akaanzisha uzi eti mods wanamwibia likes zake anazitaka. Baadae kidogo analalamika wakongwe wanajuana na kupeana like wakati wageni hata wakisema au kuandika point hazichangiwi. Akaanzisha vuguvugu la makapuku watu wasio maarufu JF, kama utani baada ya Muda kuja kukuona na wadau wake sijui waliambiana nini hao ghafla wakafunika likes hadi leo hawakamatiki. Kabla ya hao jamaa likes zilikuwa ni kwa watu wanaoandika mambo ya msingi, washauri wazuri, watu wa kuburudisha, watu wa siasa wasioogopa kukosoa na aliyekuwa kinara alikuwa mshana Jr.

Likes sio kitu cha msingi changia au anzisha chochote kujenga jamii yako ktk eneo lolote upendalo kuburudisha, kuelimisha, kukosoa, jokes au urafiki kulingana na unachopenda....
 
Mkuu Nifah hivi mbona maana ya neno kapuku ambayo Mimi nilikuwa nikiijua toka miaka kenda naona iko tofauti kabisa na maana ya kapuku ya wana JF.??

Maana ya neno kapuku niliyokuwa nikiijua ni kuwa kapuku ni mtu masikini wa kutupwa, yaani mtu asiye na kitu kabisa...kitu ambacho ni tofauti na wana JF ambao wengi mnaonekana kuwa njema kifikra mpaka kiuchumi.

Ufafanuzi Tafadhali juu ya maana ya neno kapuku.
Jibu hili hapa,mimi sitaki kuzungumzia hilo mkuu.
Naogopa lawama.

Vuguvugu la likes lilianzia kwa jamaa mmoja Rais wa makapuku Avatar yake alikuwa tembo anacheza amevaa mlegezo.
Jamaa Kuna siku alilalamika akaanzisha uzi eti mods wanamwibia likes zake anazitaka. Baadae kidogo analalamika wakongwe wanajuana na kupeana like wakati wageni hata wakisema au kuandika point hazichangiwi. Akaanzisha vuguvugu la makapuku watu wasio maarufu JF, kama utani baada ya Muda kuja kukuona na wadau wake sijui waliambiana nini hao ghafla wakafunika likes hadi leo hawakamatiki. Kabla ya hao jamaa likes zilikuwa ni kwa watu wanaoandika mambo ya msingi, washauri wazuri, watu wa kuburudisha, watu wa siasa wasioogopa kukosoa na aliyekuwa kinara alikuwa mshana Jr.
 
Mmmh. Kwanza umeandika kwa lugha ya malkia Elizabeth halafu utegemee like nyingi???Hata tano hupati,kama unataka likes nenda FB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom