What should I do to get more likes in JamiiForums?

1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?

2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?


3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?


NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
second option......
 
Just talk some sense. Hayo mawazo tu ya kuwaza kupata like sioni kama yana msaada kwetu. Tuchangie nini kwa mfano.
 
Wanaojifanya hawazifagilii like humu ni wanafiki tu.hata hao mods wenyewe utureward trophy inapotokea umepata like nyingi tena ukukusitiza uendelee kupost in order to get more trophy.mleta mada anahitaji ushauri afanyaje ili apate like nyingi,tuachwe kutokwa na mapovu kama tumekunywa viroba vya magendo.tumshauri tu wakuu
 
Jiunge na makapuku,kule kuna likes za kumwaga.
Hii inadhihirishwa na wanaoongoza kwa likes humu (list) wengi wao ni makapuku.
 
1. Tukana Serikali

2.Diss Serikali


3.Ponda kila kinachofanywa na serikali

4.Badala ya Magufuli, tumia neno Sizonje

5.Badala ya Makonda tumia neno Bashite

6.Usikosoe chochote kuhusu watu wa Arusha au Kilimanjaro, wape masifa ya kutosha

FANYA HAYO USIPOPATA "LIKES" ZA KUMWAGA MPAKA UKAZIKIMBIA NAKUPA LAKI MOJA
N.B Ukifanya hayo hata BAN Hutapata maisha yako yote humu JF

Kumbe watu wa kaskazini ndio wengi humu?
Heheeeee
Kaskazini hoyeeeee
cc my hommies Transcend miss chagga FisadiKuu kiwatengu Compact QUIGLEY n.k
 
heshimu mawazo yake mkuu, huoni kwamba its just a matter of time kuna watu wataanza kulipwa humu kwa kufanya review ya biashara za watu au kusupport matangazo ya biashara.
Hauoni instagram watu wanalipwa kwa kutangazia biashara wenzao? Basi ndio huko huko jf inaendea, japo hapa itafanyika kwa siri siri, wewe hutojua flani anampigia promo flani, in the backend biashara zitaanza fanyika very soon, yani very soon.
Yataheshimiwaje mawazo yake ikiwa kashawaita member vichwa vya nguruwe..!? (pighead)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom