What should I do to get more likes in JamiiForums?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,579
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?

2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?

3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?

NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
 
unataka likes nyingi upate nini? acha ulimbukeni wenzako wanaomba ushauri namna ya kupata pesa wewe unaomba mbinu kupata likes.
heshimu mawazo yake mkuu, huoni kwamba its just a matter of time kuna watu wataanza kulipwa humu kwa kufanya review ya biashara za watu au kusupport matangazo ya biashara.
Hauoni instagram watu wanalipwa kwa kutangazia biashara wenzao? Basi ndio huko huko jf inaendea, japo hapa itafanyika kwa siri siri, wewe hutojua flani anampigia promo flani, in the backend biashara zitaanza fanyika very soon, yani very soon.
 
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?

2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?

3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?

NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
1. Tukana Serikali

2.Diss Serikali

3.Ponda kila kinachofanywa na serikali

4.Badala ya Magufuli, tumia neno Sizonje

5.Badala ya Makonda tumia neno Bashite

6.Usikosoe chochote kuhusu watu wa Arusha au Kilimanjaro, wape masifa ya kutosha

FANYA HAYO USIPOPATA "LIKES" ZA KUMWAGA MPAKA UKAZIKIMBIA NAKUPA LAKI MOJA
N.B Ukifanya hayo hata BAN Hutapata maisha yako yote humu JF
 
soma sheria vizuri za jf
acha kujidanganya
 
Tuwekee picha nzuri za warembo wenye msambwanda, utazipata likes mpaka uzichoke.
 
Na wewe mwenyewe umeandika ili upate likes si ndio hupati ng'oo pumbaav
 
1,Should I write about politics?
-Base on leading party?
-Base on opposional paties?

2, Should I write about relationship and sex affairs?
- Looking for the ckicks, some body's wife?
-Exposing spouse secreties?
- Showing that I'm left by some one?

3, Should I write about entertainment and sports?
-Cross cutting issues in the sphere?

NB
What I need from you is just a way and not otherwise coz I know pigheaded will turn up and reacting negatively!!
Please stop being an harphazard respond accordinly and if nothing to respont keep quite!.
Are you doing some kind of research or the "likes" are more important to you? If you answer aligns with the latter then my brother you have a problem called "Kutokujiamini" or low self-esteem and you think a social approval is more important for you to feel self-worth. You need to see a shrink if that is the case. Fanya uende mapema iwezekavyo maana una dalili zote za kujiua kwa kufikiri watu hawakupendi humu jamiii forums :D:D:D
 
1. Tukana Serikali

2.Diss Serikali

3.Ponda kila kinachofanywa na serikali

4.Badala ya Magufuli, tumia neno Sizonje

5.Badala ya Makonda tumia neno Bashite

6.Usikosoe chochote kuhusu watu wa Arusha au Kilimanjaro, wape masifa ya kutosha

FANYA HAYO USIPOPATA "LIKES" ZA KUMWAGA MPAKA UKAZIKIMBIA NAKUPA LAKI MOJA
N.B Ukifanya hayo hata BAN Hutapata maisha yako yote humu JF
:D:D:D hapo ata fit vizuri.. Inabidi aende na upepo wa ma sadist kwa maana wamejaa humu kushinda watu wenye akili kubwa. Wenye akili kubwa wanatukanwa hawana akili. Na wenye akili ndogo wanatukuzwa kwa kusifiwa wana hoja sana na kupata likes za kutosha. What do you expect in a country ambapo utamaduni wa kujisomea haupo kwa asilimia kubwa ya watu.....Lazima wajinga wapumbavu watakuwa na nguvu zaidi ya wenye hekima. Akiielewa hiyo pattern atapata anachotaka..:D:D:D:D
 
1. Tukana Serikali

2.Diss Serikali

3.Ponda kila kinachofanywa na serikali

4.Badala ya Magufuli, tumia neno Sizonje

5.Badala ya Makonda tumia neno Bashite

6.Usikosoe chochote kuhusu watu wa Arusha au Kilimanjaro, wape masifa ya kutosha

FANYA HAYO USIPOPATA "LIKES" ZA KUMWAGA MPAKA UKAZIKIMBIA NAKUPA LAKI MOJA
N.B Ukifanya hayo hata BAN Hutapata maisha yako yote humu JF
Thibitisha haya mkuu
 
Back
Top Bottom