What Russia is doing is to discipline Ukraine

Hapo Putin alilenga ghala la silaha za magharibi zinazo hifadhiwa hapo kwa ajoli ya matumizi ya jeshi la Ukraine and some NATO troops next time watakuwa makini zaidi-watafikiria mara mbili kabla awa jaribu tena kuchezea patience ya Field Matshal Putin.
Naunaambiwa aliliteketeza lote hakukutaka kitu!
 
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.View attachment 2562943
Credibility of the story?is it verifiable?
Did it happen in Ukraine?evidence pls,this is just a video,could have happened any where in the world,and from where am sitting,this could have been weapon testing exercise any where,Pakistan,India,USA,UK
 
Hapo Putin alilenga ghala la silaha za magharibi zinazo hifadhiwa hapo kwa ajoli ya matumizi ya jeshi la Ukraine and some NATO troops, sina shaka next time Zelensky na washauri wake wa kibeberu watakuwa makini zaidi-ie watafikiria mara mbili kabla awaja jaribu tena kuchezea patience ya Field Matshal Putin.
Field Matshal!!🤣🤣🤣🤣
 
Urusi anapigana hii vita kiungwana na kwa huruma kubwa sana anajaribu kila mnamna ya kuepusha vifo vya raia
Uungwana gani. Angalia hasara aliyeoleta kwa Ukraine na urusi na dunia nzima. Watu wangapi wamekufa halafu unasema Putin ni Muungwa. Anachoogopa hapo ni makelele ya dunia otherwise yeye kuuwa angweza kuua sana. Angalia uharibifu alioleta Ukraine halafu unasema ni muungwana. Hapana yeye ni mmuaji tu mtumishi wa shetani full stop.
 
Nikukumbuka ule mkwara ati askari wa Ukraine wasipigane, waweke silaha chini kwa usalama wao najiuliza nini kinaendelea. Saa nyingine mtu wa maneno mengi vitendo sifuri.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Russia inapigana na eu na USA kwa hiyo usishangae, washanagae usa na eu kwa kushondwa kumkabili Russia
 
Uungwana gani. Angalia hasara aliyeoleta kwa Ukraine na urusi na dunia nzima. Watu wangapi wamekufa halafu unasema Putin ni Muungwa. Anachoogopa hapo ni makelele ya dunia otherwise yeye kuuwa angweza kuua sana. Angalia uharibifu alioleta Ukraine halafu unasema ni muungwana. Hapana yeye ni mmuaji tu mtumishi wa shetani full stop.
Kama wa Bush,Clinton,BushJR,Obama,Bieden na Netanyau wasivyoua watu au kutia hasara Middle East same as Putin do!
 
A Russian Kinzhal missile, traveling at 12,000 kilometers per hour, 10 times faster than sound, was used today to destroy a Ukrainian weapons depot 136 meters underground. (Look at the astonishment of the American reporter when he suddenly saw this.View attachment 2562943
Sina uhakika kama hii ni bomu limetua Ukraine, sbb hii inaonekana ni nyuklia bomu ndogo, shock wave inaonyesha kabisa.. Sidhani hii ni Ukraine.
 
Uungwana gani. Angalia hasara aliyeoleta kwa Ukraine na urusi na dunia nzima. Watu wangapi wamekufa halafu unasema Putin ni Muungwa. Anachoogopa hapo ni makelele ya dunia otherwise yeye kuuwa angweza kuua sana. Angalia uharibifu alioleta Ukraine halafu unasema ni muungwana. Hapana yeye ni mmuaji tu mtumishi wa shetani full stop.
Ndio gharama ya vita, collateral damage is inevitable!
Nitajie vita ambayo hakukuwa na uharibifu Wala vifo!
Hawapigani Kwa kurushiana nyanya,hizo ni silaha za moto!
 
Sina uhakika kama hii ni bomu limetua Ukraine, sbb hii inaonekana ni nyuklia bomu ndogo, shock wave inaonyesha kabisa.. Sidhani hii ni Ukraine.
Sasa ni wapi huko kumepigwa nyuklia?Nadhani hiyo shock wave ni kutokana na concentration ya ammunition eneo husika!
 
Kuna watu bado hawaelew maana ya hii SMO .......hii ni ku demilitarize ukrine plus ku buy time ili kuleta economic hardship Kwa EU

Ukibisha jibu swali hili

Kama hypersonic missile za Russia haziwezi kuwa intercepted.......kwanini asivunje ikulu ya zelensky na hizo missiles....ili kumfuta kabisa .......
.the answer is Russia anapigana friendly ili ku buy time[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]

Nukuu
Xi jinping: we're the one driving these changes
Putin: I agree

Je ni changes Gani hizo?????
View attachment 2563131

rudini kyiv. bas. maana naona russiA kama ndo anatiwa adabu. sasa hivi kila video ukiingia tweeter ukiona imeanza na warning vedeo contain senstive content. bas ujue ni mrusi wamemcheba cheba huyu kamwagwa utumbo huyu kafumuliwa ubongo.
yani tafarani
 
Ubaya uliopo hakuna habari yoyote utaipata twitter au insta inamuongelea Russia zote ni Ukraine mpango nikutotoa habari yoyote ya Russia ila ukweli nikwamba ukraine anapata tabu sana!
 
Kuna watu bado hawaelew maana ya hii SMO .......hii ni ku demilitarize ukrine plus ku buy time ili kuleta economic hardship Kwa EU

Ukibisha jibu swali hili

Kama hypersonic missile za Russia haziwezi kuwa intercepted.......kwanini asivunje ikulu ya zelensky na hizo missiles....ili kumfuta kabisa .......
.the answer is Russia anapigana friendly ili ku buy time[emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179][emoji1179]

Nukuu
Xi jinping: we're the one driving these changes
Putin: I agree

Je ni changes Gani hizo?????
View attachment 2563131
Ukisikia duniani kuna misukule basi ujue na wewe ni mmoja wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom