What Russia is doing is to discipline Ukraine

What Russia is doing is to discipline Ukraine

Imekuwa kinyume chake,Kwa Sasa Ukraine ndio anaonekana kumtia adabu urusi..,na hili kuthibitisha Hilo, mikwara aliyokuwa nayo urusi mwanzoni mwa hii vita imeyeyuka!
Urusi kachanganyikiwa hajui afanye nn!! Haamini resistance aliyokutana nayo!!
In short Puttin anajuta kisirisiri!! Amepoteza askari wengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom