Mayala masuka
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 449
- 796
Imetoka wap hii..."Only fools do not change their minds"
Nani kakuambia uongelee watu wewe, ongelea wewe mwenyewe. Ya wengine is none of your business soma heading vizuri
Umemlenga nani hapa?
Nani kakuambia uongelee watu wewe, ongelea wewe mwenyewe. Ya wengine is none of your business soma heading vizuri
Na wewe ndio ulikuwa mwalimu wangu na nilifeli ujinga uliokuwa ukinifundishaEwe punguani, nnauhakika shule ulienda kusomea ujinga.
Hebu angalia maajabu hayo hapo chini:-pesa, elimu, nguvu hauna.. hata MKWARA tu??
kweli mkuu ukiwa na afya njema vitu vingi vitakuja.Hebu angalia maajabu hayo hapo chini:-
ELIMU sina...
PESA sina...
MALI sina...
Lakini namshukuru sana MUUMBA...
Kwa kunipa afya iliyo bora...
Na njema pia...
A ndio mpango mzima, jiangalie wewe