What man knows about women!

Kuna vitu huwa na wish MEN wavi understand what we women want

but they seems not to care at all

Tatizo ni kuwa nyie wanawake mnataka wanaume wawe telepathic (kusoma mawazo yenu).

Ukimuangalia unafikiri kwa nini hajui kuwa mimi nina shida hii. Sasa jamaa likikaa sebuleni na bia yake akiangalia michezo kwenye luninga, wewe unakimbilia bafuni na kulia -- "ohh, wala hanijali. Liangalie linacheka kwenye simu wala haoni machungu yangu." Waelezeni wanaume wenu mnachotaka.
 
Natamani ajue kila kitu.but anafanyaje maskudi kujifanya hajui

Sasa unaona ulivyojichanganya. Ukisema unatamani ajue kila kitu hii ina maana kuna vitu hajui. Lakini hapohapo unamshutumu kuwa "anafanya makusudi kujifanya hajui".

Kwa nini humuelezi tu unachotaka ajue. Najua sisi wanaume tunajifanya werevu sana lakini kusoma mawazo sio kipaji chetu. Talk to us.
 
Back
Top Bottom