kuwa na mpenzi mwema kwako na kazi inayokufanya usifikiri kesho utakula nini pamoja na kutojijengea uadui na watu ni baadhi tu ya vitu vinavyokufanya kuwa na furaha, lakini furaha ya kweli ni baraka kutoka kwa Mungu aliye mwemaNDIO, Nini hasa kinakupa furaha Maishani Mwako? Pesa na Mali ulizonazo? Marafiki? Madaraka? Kazi yako? Familia yako? Afya nzuri na uzima? Starehe?Umaarufu? Sifa?nini? au Furaha ni nini? wooote sisi tunaweza kuwa na furaha?
Na, kwa kadri unavyokumbuka ni wakati gani katika maisha yako unadhani ulikuwa na furaha kuliko nyakati zote? ni nini kilikufanya mwenye furaha kipindi hicho?
Swali rahisi sana, kinachonipa furaha maishani ni PESA coz nikiwa na pesa naweza ku enjoy nitakavyo, naweza kupata tiba haraka pindi niumwapo, nikiwa na pesa naweza kuihudumia vizuri familia yangu na kuifanya wawe na afya bora, nikiwa napesa kupata madaraka ni rahisi................ Yaani pesa ndio kila kitu kwangu huku nikimtanguliza Mungu.
kuwa na mpenzi mwema kwako na kazi inayokufanya usifikiri kesho utakula nini pamoja na kutojijengea uadui na watu ni baadhi tu ya vitu vinavyokufanya kuwa na furaha, lakini furaha ya kweli ni baraka kutoka kwa Mungu aliye mwema
Amani ndani ya moyo? Inaingiaje?
kwa mtoto furaha yake ni kuona kila anachokitaka anapatiwa na maisha goes well.....Kwa wale ambao hawajafikia umri wa kuoa wala kufanya kazi inakuaje? Furaha sio haki yao?
To love and be loved in return by family members+friends, to live well with my neighbors without quarrels, to believe that God is my savior and that through him i can conquer every obstacle, makes me have PEACE in my heart.
Kama sehemu ya mazungumzo tu,ni wewe ndio umeanzisha uzi juzi unamzungumzia mrembo maua-bar maid? Umeimalizia hiyo story?
I will comment to your point later.