What makes you happy?


We wakishua eeh, Unajua hata kuwinda kwa bunduki ?

Au wewe ndo abduli mapesa mwenyewe?
 
We wakishua eeh, Unajua hata kuwinda kwa bunduki ?

Au wewe ndo abduli mapesa mwenyewe?

Sio ushua, ni vile umezaliwa kuna mazingira yanakujenga kutoka kwa mzazi/mzazi wako, mimi mzee wangu ni mpenzi sana wa mikwaju/manati ya mzungu. Sio kwamba ni wa kishua, ila ni hobbie yake tuu tumekua tunamuona hivyo.
Ni wale madingi wabishi, akiwa na mikwaju ndani ndio anaona yupo safe. Hawezi kusafiri bila mkwaju, haendi shamba bila mkwaju.

Kuhusu kutumia bunduki sijui mkuu. Nakutania tuu. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…