busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,575
Mbonge la promo,,umetisha mkuu,
Nani aliekwambia mwanza hakuna bandari?hio mizigo ya waganda wanasafirishia wapi?
Mwanza ni mji ulie zungukwa na madini pia wana zao kubwa la biashara Pamba(White Gold)
Fillet za sangara wana Xport nje na kuingiza pato kubwa serikalini
Mwanza imepakana na boader ya Nchi tatu,Kenya Uganda na Rwanda
Imekuwa kibiashara kutokana na mikoa iliopo jirani wanakuja kununua mahitaji yao hapo kama vile bukoba musoma na shinyanga
Sasa tusubirie na Intenational Airport ikamilike,yaani Emarates Air line itoke dubai direct to mwanza hapo mwanza itakua haikamatiki tena
Mikoa yote ya jirani watakuja mwanza kupandia ndege hapo
Mtu atatoka singida kwenda mwanza ili akapande ndege kwenda China
Kwa mantiki hio mzunguko wa kibiashara pamoja na mahoteli yatachangamka saana kutokana na watu kutoka sehem mbali mbali kuja hapo mwanza
Notice-From Arusha to Serengeti inakaribia km400,lkn kutoka mwanza kwenda serengeti ni Km100 tu.hapo itakua fursa kwa watalii wenye kuja mbuga za wanyama badala ya kushukia arusha(kia) watakuja direct mwanza