Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,117 May 11, 2016 #21 lizziebettie said: Ni nzuri sana! Click to expand... Nzuri ila ndefu mnooo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,117 May 11, 2016 #22 ceicey said: Nzuuur balaaaaaa maria itakuwaje sasa Click to expand... Maria alifulia sana, mara akawa teja ila kaka wa Nadya pamoja na JoseLuis wakamsaidia, alijaribu sana kumuua montesrat ila hakufanikiwa kabisa
ceicey said: Nzuuur balaaaaaa maria itakuwaje sasa Click to expand... Maria alifulia sana, mara akawa teja ila kaka wa Nadya pamoja na JoseLuis wakamsaidia, alijaribu sana kumuua montesrat ila hakufanikiwa kabisa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,117 May 11, 2016 #23 radika said: naikubali sana hii tamthilia mkuu. Click to expand... Nzuri sana, ifatilie hutajuta
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 May 11, 2016 Thread starter #24 Jimena said: Nzuri sana, ifatilie hutajuta Click to expand... poa mkuu ngoja nikomae nayo.
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 May 11, 2016 #25 Jimena said: Jose Luis alikuwa mbaya sana kipindi cha mwisho, yani pamoja na kwamba alikufa akiokoa watoto lakini tulipumua kidogo baada ya kifo chake Click to expand... Yaan alikuwa ananiudhi mimi!
Jimena said: Jose Luis alikuwa mbaya sana kipindi cha mwisho, yani pamoja na kwamba alikufa akiokoa watoto lakini tulipumua kidogo baada ya kifo chake Click to expand... Yaan alikuwa ananiudhi mimi!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,117 May 11, 2016 #26 radika said: poa mkuu ngoja nikomae nayo. Click to expand... Halafu inaitwa what life took from me (lo que la Vida mi robo)
radika said: poa mkuu ngoja nikomae nayo. Click to expand... Halafu inaitwa what life took from me (lo que la Vida mi robo)