what is your favorable games in windows

wanajf wapi ipo naweza pata download ya games for pc free
just google hiyo maneno tapata site kibao lakini nyigi za free zinakuwa demo/trail au za kichovu, kama upo na bandwith ya kushiba tafuta aina ya game unapenda kisha zama torrents zipo za kila aina unapakuwa tu, usisahau kusoma comments kabla ya kupakuwa na uwe na antivirus ya maana
 
Wadau siku za karibuni nimetokea kupenda sana kucheza games ktk pc yangu, na hadi sasa ninazo game nizipendazo.
Delta force: black hawk down, na land worrior
Team apache
GTA-San andreas
Baghdad central desert gunner
MaxPayne
NFS underground
Zuma revenge
Checker
Call duty


je ni games gani unazopenda so i can pick one


kama kuna mtu anaweza kuweka website ya kupata mzigo hio apo juu for free plz weka link eeehhhhh
 
Mi nilicheza demo ya max payne nikaipenda sana.
Hivi zile game za play station zinachezeka kwenye computer bila tabu?au ni kwa play station tu?
 
I like kucheza draft. kuna game kila ukinshinda demu anavua uishinda mara tatu anakuwa avua kila kitu.

I was so addicted lakini sasa nimeacha game za kucheza na computer nacheza na real people nline.

Nyingine nayopenda ni pooltable ipo yahoo games

hebu please tuwekee hiyo game ya draft hapa hapa hadharani. au tupe link
 
mkuu me nahitaji GTA3 nilianza kuicheza sikuimaliza machine ikakorofisha ikapotea. NEED FOR SPEED ZOTE AFTER NFS5 (PORSHE) kama unazo tuwekee mkuu tutashukuru.
 
Wadau siku za karibuni nimetokea kupenda sana kucheza games ktk pc yangu, na hadi sasa ninazo game nizipendazo. Delta force: black hawk down, na land worrior Team apache GTA-San andreas Baghdad central desert gunner MaxPayne NFS underground Zuma revenge Checker Call dutyje ni games gani unazopenda so i can pick one
call of duty inatisha hasa kama una windows 7 xp sp3 kwa ajili ya graphics nzuri
 
Wadau siku za karibuni nimetokea kupenda sana kucheza games ktk pc yangu, na hadi sasa ninazo game nizipendazo.
Delta force: black hawk down, na land worrior
Team apache
GTA-San andreas
Baghdad central desert gunner
MaxPayne
NFS underground
Zuma revenge
Checker
Call duty


je ni games gani unazopenda so i can pick one


  • Chess
  • Need for Speed (The Run)
  • Hearts
 
mi nipo tofauti na wengine mi napenda strategies games kama age of empire asian dynasty una spend masaaa hadi 60 play only one mission ni tamu aiseeeeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom