what is your favorable games in windows

Prison break, Wheelman and God Father two.these are my best..

guys for those who have capable pc's,try crysis 1,2...battlefield,black ops..they're great.
Wakuu kibongo bongo kupakuwa hizi games za gb kadhaa kwa net zetu inakuwa shughuli ukizingatia vi bundle vyetu vya mb kadhaa tu, hamna sehemu hapa Dar naweza nunua cd zake zilizochakachuliwa? na ibei ikoje?
 
Naughty you! Any way hivi ulipata ufumbuzi jinc ya kuwafungua na wale wengine,wanafunguka wa2 tu,aah sio kwamba nacheza mimi.lol
Teh teh teeeeeh mkuu unaonyesha unahamu ya kona na wangine wakisaula.
Tatizo game yenyewe inatumia lugha sijui ya kirusi hivyo hata jina hatujui achilia mbali maelekezo mengine ya hiyo game
 
Na mimi nimecheza sana Project IGI na Project IGI 2. Tena nimereinstall juzi juzi kujikumbusha kidogo.
Gemu inabidi unyate sana sio kubatua tu kila mtu.
 
Mkuu hii game naipenda sana lakini inanipa tabu kucheza, unatakiwa kuwa na vidole sharp kukontrol keys
@mtazamaji gemu hiyo ya demu kusaula niliicheza zamani sana nadhani ilikuwa inakuja na windows za zamani, sikuhizi siioni
Nope! inakuwa installed tu na bado zipo kwa sana tu!
 
Ukienda mlimani City-GAMES Supermarket,utazikuta.Ila bei sasa! Yapo pia maduka mengine posta.Pia njia nyingine ni kuwatafuta walinunu na mnaelewana tu. AU we unaonaje?
Wakuu kibongo bongo kupakuwa hizi games za gb kadhaa kwa net zetu inakuwa shughuli ukizingatia vi bundle vyetu vya mb kadhaa tu, hamna sehemu hapa Dar naweza nunua cd zake zilizochakachuliwa? na ibei ikoje?
 
Need for speed Hot Pursuit,Force of resistance,Sniper:the art of Victory,Project IGI 1&2,UEFA 2008 Austria,Pool,Operation Thunderstorm,Marine Sharp Shooter,Conflict Desrt storm,Conflict VietNam,Secret Service,Zuma,Code of Honour,SAS,GTA 4,Game nyingine ndogondogo kibao
Wadau siku za karibuni nimetokea kupenda sana kucheza games ktk pc yangu, na hadi sasa ninazo game nizipendazo.
Delta force: black hawk down, na land worrior
Team apache
GTA-San andreas
Baghdad central desert gunner
MaxPayne
NFS underground
Zuma revenge
Checker
Call duty

je ni games gani unazopenda so i can pick one
 
Pia njia nyingine ni kuwatafuta walinunu na mnaelewana tu. AU we unaonaje?
hapo ndio nipatakapo mkuu, nasikia kati ya posta na kariakoo zipo za kuburn bei powa, ila sasa sijui ni wapi, mjini bila kulengeshwa utabaki umetoa macho tu watu wanapeta

Need for speed Hot Pursuit,Force of resistance,Sniper:the art of Victory,Project IGI 1&2,UEFA 2008 Austria,Pool,Operation Thunderstorm,Marine Sharp Shooter,Conflict Desrt storm,Conflict VietNam,Secret Service,Zuma,Code of Honour,SAS,GTA 4,Game nyingine ndogondogo kibao
Ngoja nizifanyie kazi hizi, ila kunazingine hapa zinaujazo wa kutisha kama GTA 4 kwa kudownload na torrents unaweza chukua wiki kwa speed ya mitandao yetu
 
Wakuu na mimi nazipenda sana game za action nimechezaIGI 1, COVER STRIKE, GTA, naomba kama kuna mengine aliyenayo tupeane
 
hapo ndio nipatakapo mkuu, nasikia kati ya posta na kariakoo zipo za kuburn bei powa, ila sasa sijui ni wapi, mjini bila kulengeshwa utabaki umetoa macho tu watu wanapeta

Ngoja nizifanyie kazi hizi, ila kunazingine hapa zinaujazo wa kutisha kama GTA 4 kwa kudownload na torrents unaweza chukua wiki kwa speed ya mitandao yetu
kaka ukizipata naomba utujulishe ili tuangalie utaratibu wa kuzipaya
 
hapo ndio nipatakapo mkuu, nasikia kati ya posta na kariakoo zipo za kuburn bei powa, ila sasa sijui ni wapi, mjini bila kulengeshwa utabaki umetoa macho tu watu wanapeta

Ngoja nizifanyie kazi hizi, ila kunazingine hapa zinaujazo wa kutisha kama GTA 4 kwa kudownload na torrents unaweza chukua wiki kwa speed ya mitandao yetu

Kuna njia moja sijakwambieni bado kwa sababu hii ingetegemeana na mwitikio wa wapenzi wa games!
Ni rahisi kama hivi:
1.Fuatilia kwenye hii thread uone wadau wanaojitokeza na mali zao(usiulize walikozipata na walivyozipata)
2.Angalia what you have and what you don't have.
3.Mtafute mwenye usichonacho muangalie uwezekano wa kutrade.(hasa kubadilishana)
4.Akiona kuna unachoweza kumpatia ni obvious atakubali tu.

How about that?!!!?
 
kuna mtu anajua game yoyote nzuri ya kudrive ndege/helikopta, nimejaribu Combat Wings:the beatle of britain sijaipenda sana
google Flight gear...ni free i think...very good game but inataka computer yenye RAM ya kutosha..
 
google Flight gear...ni free i think...very good game but inataka computer yenye RAM ya kutosha..
Softonic review

"Open source and easy to play flight simulator"

by Nick Mead about FlightGear

There are various flight sims out there but there are very few that are totally free. FlightGear bucks this trend to offer a user-friendly but realistic introduction to the skies, all built on open source programming. FlightGear might not be as realistic or polished as Microsoft Flight Simulator X or X-Plane but it's still an impressive package, especially considering its free. Like most flight sims however, the installation and startup takes a good 5-10 minutes to install the various backdrops and 3D graphics. Once started, you're presented with around 20 planes to select ranging from Messerschmitts to Cessnas....
Read more

Pros
  • Free – No registration or license fees
  • Great tutorials to get you going,
  • Clean and easy to use flight deck
  • Lots of planes to choose from

Cons
  • Very heavy on resources
  • No missions to take part in
  • Lacks the realism of X-Plane and Microsoft Simulator X
  • No Windows 7 support yet

Bahati mbaya natumia windows 7 na haipo supported na hiyo game, any one if you know?
 
Back
Top Bottom