Kaa na fanya mambo ambayo unaona yanakupa furaha ila pole... Wengine huku tulishaona kila kitu kichungu ila tukajipa moyo... Pia kubali kuwa maisha yako yana dhamani zaidi na pale unapofanya jambo kwa mtu mwingine jiaminishe kuwa utalipa cku moja mbele za mungu yaani mbinguni. Ukifanya hivyo utabadilika rafiki yangu