What is time?

What is time?

Saint Augustine of Hippo "What then is time? If no one asks me, I know what it is. If I wish to explain it to him who asks, I do not know"
 
Natumai mpo good waungwana,

Hoja yangu hapa ningependa kujua muda ni nini na umeundwa na vitu gani..? na lanyongeza ningependa kujua uwepo ni nini?

Ni hayo tu wakuu.
 
Kwa ufupi Muda ni kiwango / kipimo cha mabadiliko yanayotokea.

Mfano wewe kuchezesha jicho wakati unasoma huu mchango wangu hayo mabadiliko yaliyotokea kwa kuchezesha jicho ndo muda wenywewe huo. Ila kutokana na ukorofi wa binadamu haswa yule mweupe aliamua kutafuta kipimo cha muda (saa) na hii ndiyo imesababisha wengine tuonekane wavivu.

Kwa kumalizia muda hauna mwanzo wala mwisho.
 
namaanisha pale tukio linavyoanza kutendeka wakati tukio linatendeka na baada ya tukio kutendeka huo ndo muda
kumbuka hata kama kusipotendeka tukio muda upo.
pia kwa mantiki hiyo uisemayo hapo yaonyesha dhahiri unachotaka kukisema matukio/tendo ndio muda.
 
"Time is an illusion it's how we perceive the 4th dimension"
 
Time is an illusion.

Hakuna kitu kinaitwa time ambacho kipo kila mahali katika usawa.

Wakati ni zao la mabadiliko. Kutokana na hali ya kubadilika badilika kwa hali, vitu na matukio ndio maana tunaona kuna kitu kinaitwa wakati.

Ni kwanini naamini hivyo?
Kwa sababu endapo ulimwengu ungekuwa ni empty space, hakuna chochote wala hali haibadiliki na haitabadilika kamwe, hapo hakutakwepo na time. Kama wakati huu utabaki hivyohivyo kesho na kesho kutwa mpaka milele kwanini kuwepo na time? nini kitakachotofautisha wakati huu na wakati mwingine kama nyakati zote ni sawa?

Hivyo basi, wakati ni tokeo la mabadiliko. Kutokana na kuwepo kwa mabadiliko katika ulimwengu tumetengeneza nyakati ili kutofautisha badiliko moja na badiliko lingine.

Time is an illusition. The only reality is THE PRESENT MOMENT

Mind created phenomenon, time cannot be measured touched seen or sensed so at the end we can conclude that there is no such a thing called TIME
Unaamini hakuna time ila uchawi unaamini upo na unaupenda!
 
Time exists only if there is someone to keep it, otherwise time does not exist, it is just an illusion.
 
Time is an illusion.

..............................................

Time is an illusition. The only reality is THE PRESENT MOMENT

Was YESTERDAY (or indeed, the PAST) a REALITY?
 
Time is an illusion.

Hakuna kitu kinaitwa time ambacho kipo kila mahali katika usawa.

Wakati ni zao la mabadiliko. Kutokana na hali ya kubadilika badilika kwa hali, vitu na matukio ndio maana tunaona kuna kitu kinaitwa wakati.

Ni kwanini naamini hivyo?
Kwa sababu endapo ulimwengu ungekuwa ni empty space, hakuna chochote wala hali haibadiliki na haitabadilika kamwe, hapo hakutakwepo na time. Kama wakati huu utabaki hivyohivyo kesho na kesho kutwa mpaka milele kwanini kuwepo na time? nini kitakachotofautisha wakati huu na wakati mwingine kama nyakati zote ni sawa?

Hivyo basi, wakati ni tokeo la mabadiliko. Kutokana na kuwepo kwa mabadiliko katika ulimwengu tumetengeneza nyakati ili kutofautisha badiliko moja na badiliko lingine.

Time is an illusition. The only reality is THE PRESENT MOMENT

Apollo, are you alive cause majibu yako yakiastronaut kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom