Kuna Me wanauwezo wakuzalisha,kukojoza ila bado si WANAUME. Japo Gigy ni Chizi ila hakutakiwa kumfanyia hivi mzazi mwenzake,tena mbele ya mtoto wake.Hajui alicho kifanya ni sawa ya kuupiga muhuri wa moto wa chuki kwa huyo mtoto alieye mzaa,ambao hauto futika. Halafu kesho atasema amelishwa sumu na mama yake, wakati kafanya ukatili mbele ya mtoto wake tena unao muhusu mama yake mzazi.
Najua ni nguvu ushawishi ya mkewe wa sasa na si yy wenyewe, kwani ameshindwa kusimama kwenye nafasi yake kama mwanaume. Yaani jamaa ni bonge moja la fala, hajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia, sasa ona mwanae mwenyewe wa kumzaa anamwona katili.