rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 131
habari wana jf mwenye ufahamu na software hapo juu naomba anijuze
kwa mkono naweza na baadhi ya software naweza tumia kama tinycad but i cant find diagonal resistors in tinycad libraryMimi sio mtaalam wa hivyo vitu lakini mbona ni drawings simple tu? Why usichore na mkono?
or let me change question ........................how to draw wheatstone bridges using ms wordhabari wana jf mwenye ufahamu na software hapo juu naomba anijuze
ok poa mkuu let me try itTumia autoCAD itakua rahisi zaidi