tindikalikali JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,855 1,117 Jul 12, 2012 #21 vanmedy said: Umeona nini kaka Click to expand... nilikuwa nahitaji smart phone, nimepata nokia e72
nurbert JF-Expert Member Feb 26, 2012 1,887 427 Jul 13, 2012 #22 simplemind said: Tafuta Nokia Ashaa Click to expand... kaka nokia asha ipi tena... Coz nnazo zjua mm sio smartphone
simplemind said: Tafuta Nokia Ashaa Click to expand... kaka nokia asha ipi tena... Coz nnazo zjua mm sio smartphone
LOOOK JF-Expert Member May 17, 2011 3,389 672 Jul 13, 2012 #23 nina nokia E61i kama una usd 340 nkuachie ina wik tatu original made hungary 7 & 8 imei digits are01 eagizwa toka us full package.
nina nokia E61i kama una usd 340 nkuachie ina wik tatu original made hungary 7 & 8 imei digits are01 eagizwa toka us full package.
Jamiix JF-Expert Member Mar 27, 2012 885 548 Jul 14, 2012 #24 mzeewaloliondo said: Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp Click to expand... Yoyote utakayo mkuta nayo teja(mla unga) utauziwa cheap(i bought sony ericsson W880i kwa 5,000/= na Xperia X10i kwa 25,000/= Usiwatembelee ukiwa ujajipanga vizuri(maana watakunywa hiyo yako wanletee kwa 2000/=)
mzeewaloliondo said: Salaam wakuu. Ningependa kujuzwa kuhus smartphone ya bei nafuu kwa hapa bongo regardless ya OS iwe symbian or android.As long as iwe ina support app ya whatsapp Click to expand... Yoyote utakayo mkuta nayo teja(mla unga) utauziwa cheap(i bought sony ericsson W880i kwa 5,000/= na Xperia X10i kwa 25,000/= Usiwatembelee ukiwa ujajipanga vizuri(maana watakunywa hiyo yako wanletee kwa 2000/=)