smartphone rahisi ya watsapp hapo itabidi uopt android au symbian
Kwa android ni hiki kimeo chao cha laki 2 wanachokitangazia ni cha kawaida sana sema ndo hivo kina android tutafanyaje? Watsap ipo
Kwa symbian zimejaa nyingi sana tafuta n au e series model za zamani ambazo ni e series mfano wake e71, n73, n80, e63,........ Hizi nlizotaja zikiwa mpyaaa bei inarange 180,000 hadi 250,000.
Kwa kukusaidia zaidi.
Kama ni rahisi halafu touch-samsung galaxy
Kama qwerty keyboard-e71 au e63
Kama button za kawaida n73, n79
Slide n80.
Kama za promotion kuna ideos za tigo pia bei rahisi rahisi japo sipo sure sh ngap