Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,856
- 82,010
Sasa sisi wa huku kisarawe A mbona umetutenga ndugu
Ahsante mkuu tupe vitu kwa lugha ya kizaramoPolee sana kaka
Ndio ni elon musk anazungushwa na kichaa nape nauye ambaye ndo anafanya bei za data tanzania ziwe juu sanaJee ndiyo hiyo nasikia kingunge fulani anazungushwa zungushwa kupata kibali cha kuileta Tz?
Hivi ikija satellite internet itakuwa bei poa zaidi bundle zetu hizi ?Ndio ni elon musk anazungushwa na kichaa nape nauye ambaye ndo anafanya bei za data tanzania ziwe juu sana
Mnunulie kitabu cha darasa la tatu chenye Swahili-English na kinyume chake ili aende bumper to bumper na wewe.Polee sana kaka
Nasikia ni zaidi ya laki 2, labda muungane watu kadhaa.Hivi ikija satellite internet itakuwa bei poa zaidi bundle zetu hizi ?
Kwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500Hivi ikija satellite internet itakuwa bei poa zaidi bundle zetu hizi ?
Saiv ni 70k kwa makampuni na vyuo ,shule ila kwa mtu mmoja ni laki na nusu nimesikia leo kwa jamaa yangu ambae yupo rwandaNasikia ni zaidi ya laki 2, labda muungane watu kadhaa.
Rwanda $150......sawa 70k ...ila ni fixed itafaa office ndogo ndogo maana pia ni volume based inaishs kama kifurushi au unlimited ?? Speed ni ndogo sio kama 4GKwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500
Ni unlimited kakaRwanda $150......sawa 70k ...ila ni fixed itafaa office ndogo ndogo maana pia ni volume based inaishs kama kifurushi au unlimited ?? Speed ni ndogo sio kama 4G
Kwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500
Kaka nimekosea hapo ni usd 70 hiv😀
Installation ni free na monthly package ni elfu 70 hahaha hebu futa haraka hiyo maneno...
Mfano Kenya kwa sasa wanalipa USD 46, so hata huduma zao zikifanikiwa kuanza Bongo bei haitakuwa mbali na hiyo (sijui mwaka gani maana wanabaniwa na akili mdogo CCM)
Hao ni kausha damu bora hata vodacom supakasi wako fresh sanaKuna washenzi fulani wanaitwa Konnect nao wanatoa internet via SAT, imstallation kit yao eti ni 1.6 mil hivi TZS...
Halafu bundle ya bei chee ni 60k, with 20Mbps, guaranteed unlimited speed for first 5GB, then wanakushisha hadi 1Mbps ukimaliza 5GB za mwanzo...jamaa wanachekesha kweli hawa
Kaka nimekosea hapo ni usd 70 hiv
Mbona itakuwa bei nzuri sana aise!Saiv ni 70k kwa makampuni na vyuo ,shule ila kwa mtu mmoja ni laki na nusu nimesikia leo kwa jamaa yangu ambae yupo rwanda