Swali lakolinaonyesha wewe ni intermediate au advanced user. So huitaji kutafuniwa. Inaonekana unajua tayaro something about Oracle na database.. Kama hujui basi anza anza uchimba chimba kuhusu kwanza Database na specifically Orcale.
Kama unajua basi chimba chimba mtadano Kuhusu
Custer . Hiyo link hapo ni cluster katik level ya
OS so kwa hara haraka utaona Oracle RAC ni implimetation ya cluster katika level ya
DBMS. Unaweza kuwa na cluster katika hata level ya
hardware . Haya yote ni katika kuhakkiiisha ystem( in this case database system) zinakuwa na realiability, availabiity na security yakiwango cha juu
Unaweza kuona mfaano halisi wa cluster kwenye database kwenye tovuti kama
yahoo.com (USA) ,
yahoo.co.uk (uK)
Yahoo.co.za . So hata kama uko kwenye web page ya yahoo ya south africa login za yahoo ni ile ile popote ulipo sababu database server zao ziko
clutsered uwe norway au canada au uk.
soma kwa undani zaii
overiview of Oracle RAC . Una weza kugoogle nondo za
Distributed system upate general knowledge kabla ya kuingia deeper kwenye technicalities za mambo ya clustering
Hiyo Oracle Apps nadhani unaweza kupata jibu
Good luck