jamshidamri
Member
- Aug 27, 2015
- 79
- 27
jamani imebidi niulize swali hili kutokana na mambo kazaa yanayonichanganya...mfano tanzania tunanunua mafuta toka nje ya nchi...sio tanzanua tuu na nchi za EAC karibu zote...sasa nimesikia uganda wataanza kuchimba mafuta na watajenga bomba kuuza international market kwani sisi tz hawatuoni au...pia utajuaje kuwa hili ni soko la dunia...?