What is great thinking? Who are the great thinkers?

Nadhani"great thinkers" kama ilivyo slogan ya jf ina apply kwa watu wachache sana, hususan sisi watanzania. Naamini great thinkers ni wachache mno.

Hata hivyo, kuwa na uwezo wa ku-deal na aina tofauti za watu bila kukwaruzana nao pia ni aina fulani ya kuwa great thinker, huwa nikiona mtu kanilia bati kwa vile tu tumetofautiana kwenye argument naona huyu bado hajatosha, ni mtu wa visasi na hana kifua cha kubeba mambo mazito.
 
Mkitofautiana kwa hoja ama kwa kejeli na matusi?
 
Mbona leo umerusha jiwe kwenye mwanga mkuu, kulikoni?. Watakuja kwa kasi ya bomba mpenzi ujue.
 
Hiyo ni hadithi nyingine, sipendi matusi hivyo nitasitisha mjadala.
That's what I meant...! We all all mortals.. We are not 100 % perfect... Hatuna ukamilifu na tunakosea hapa na pale.... Na kwa hakika si kila mtu atakubaliana nawe kama nawe usivyoweza kukubaliana na wengine kwenye kila kitu
If really you are a great thinker utalumbana kwa hoja na si mipasho na kejeli za uswahilini
 
Great thinker think and talk about new ideas and origin of idea. Innovator uses established idea to improve device or life standard. Average thinker think and talk about past events. Lower thinker think and talk about other people. Mshana jipime mwenyewe upon wapi? Jamii forum wengi ni Average thinkers au Lowest thinkers tunajadili sana matukio yaliyopita au watu Fulani kafanya hiki nk. Mfano: Tunashinda kutwa tukizungumzia Ligi ya Uingereza hasa mechi zilizopita, ndio vipindi vilivyo vingi kwenye TV na redio. Tena tunazungumza kuhusu maisha ya mtu binafsi sana kwenye TV na redio. Sasa mitandao ya jamii mingi imejaa umbea na kusengenyana tu. No new ideas. Nilifikiri unaelezea Great thinking and Great thinkers badala yake unaishia kulalamika tu. Taifa la walalamikaji. Anza kwa kuelezea factors for great thinking.
 
Asante kwa mtazamo na tafsiri yako juu ya kile nilichoandika... Sifa ni kusifiwa sio kujisifia.... Umehitimisha kwa kusema nalalamika japo kuna mengi nimeandika umeyakwepa kwa sababu zako binafsi.. Sina tatizo na hilo as long as umetumia haki yako kunikosoa kwa hoja
Nyongeza great thinking is not about thinking and talking about what you call new ideas or origin of the idea... That is thinking not great thinking... Hiyo new hizo new ideas hata zikiwa ni kupanga uhalifu au kufanya upuuzi utaita ni great thinking... This is absolutely insane!
 
Safi sana mkuu NGANYIKA
 
Mambo mengine yanakeraaaa mnoo kuyanyamazia kweli mimi sio GT ila ni member mzuri hahahhahahhaha Mshana Jr
Tayari wewe ni GT... Kwakuwa unajitambua... U GT huanza na kujitambua
. Wewe ni nani
. Uko wapi
. Unafanya nini, kwanini
 
Nimekuelewa Sana mwalimu wAngu Mshana icho kitu ni cha kweli kabisa ubarikiwe usiache tyu kutupa masomo yako Maana ni chakula cha ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…