What is graphic design?

Kwa maelezo zaidi tizama pia links zilizoko mwisho, katika hii website - Wikipedia.

Sub titled,
- Software
- See also

.
 
What computer programs build "graphic designs"?

Tumia ADOBE CREATIVE SUITES CS3
Ndani ya hiyo package utapata software nyingi zitakazokuwezesha kufanya graphics design kutokana na matakwa yako.Kwa mfano adobe photoshop ni mojawapo ya program iliyopo humo ndani and it is very poweful
 
Samahani hapo mkuu nilikuwa naomba kuuliza hivi ADOBE PHOTOSHOP NI free au inabidi kuinunua ili uweze kuitumia zaidi??
 
samahani hapo mkuu nilikuwa naomba kuuliza hivi adobe photoshop ni free au inabidi kuinunua ili uweze kuitumia zaidi??

adobe photoshop inauzwa lakini wewe nakushauri ujaribu kwanza paint shop ni kama adobe photoshop tu baadhi ya vitu na ni rahisi kuliko adobe

nakutakia mafanikio
 
What computer programs build "graphic designs"?

Ni Adobe ambapo kwenye adobe utakutana na:-

Adobe photoshop - Hii ni kwa ajili ya kuchezea picha kadiri unavyotaka, unaweza kubadili rangi, sura, umbo na hata kuchanganya picha nyingi kuwa moja.
Adobe Illustrator - Hii ni kwa ajili ya kuchorea maumbo mbalimbali unayohitaji.
Adobe In design - Hii ni kwa ajili ya kutengenezea kurasa( kufanyia lay-out) za majarida, posters nakadhalika.
 
adobe photoshop inauzwa lakini wewe nakushauri ujaribu kwanza paint shop ni kama adobe photoshop tu baadhi ya vitu na ni rahisi kuliko adobe

nakutakia mafanikio

Asante sana mkuu kwa kuweza kunisaidia nitaijaribu kwanza hiyo
 
Msaada jamani maana kuna kitu kinanitatiza kidogo pia ni tatizo dogo sana ila nadhani tu mimi mwenyewe sijajua nifanye nini ili niweze kila kitu kiwe sawa...Tatizo langu ni kwamba nimedownload internet explorer 8 beta so kila kitu kipo sawa ila tatizo ni kwamba najaribu kufungua baadhi ya site hazifunguki so tatizo lipo wapi??
 
Yassin kitu beta maana yake kiko katika majaribio chochote kikitokea unatakiwa ureport kwa wenye kitu hicho mfano hapo ulitakiwa uulize support toka microsoft .

Hiyo software haijawa tayari bado iko katika hatua za majaribio ndio maana inaitwa beta , cha kufanya ni kuiondoa hiyo explorer nenda katika control panel add remove programes utaiona
 
Asante sana muheshimiwa nimesha remove tayari asante sana kwa msaada wako nashukuru sana...Pia ile link nimeipata nashukuru nitaifatilia kwa makini na nitakujulisha nini kinaendelea...Pamoja
 
What computer programs build "graphic designs"?

I think you mean 3d softwares that used to modeling, sculpting, texturing and rigging. these softwares are 3D max, Softimage, Maya, Cinema 4d, Blender, MotionBuilder etc....... Zipo nyingi ni wewe mwenyewe utaweza kutumia ipi.
 
Back
Top Bottom