What is freemansory?

What is freemansory?

Nimesema "KUSHAWISHIKA" mkuu sio KUSHAWISHIWA.
Tusidanganyane hapa. Na ndipo ujanja ujanja wenu unapogundulika kwa watu makini..! Ulilosema na ulilokata vyote ni vimoja katika nia moja ya kupata wafuasi wenu. Utawezaje KUSHAWISHIKA bila kushawishiwa?? Mnawashawishi watu mpaka kufikia KUSHAWISHIKA kwa kutumia nyenzo mbalimbali mfano UTAJIRI nk. Hauoni hapo mmeshawishi. Sema mnashawishi indirectly na maagent wenu wanafanya directly. So ulilokata ndio mnafanya sana
 
SAWA MKUUU
 
Zile rituals zao zinakuwaje? Zinaendana na mafundisho na maagizo ya Mungu?

Na kuacha makusanyiko ya grand lodge zao, je wanaweza kwenda kwenye majumba ya ibada kama kanisani au msikitini? Maana naona umeandika hapa kuwa mwanachama anatakiwa awe anaamini uwepo wa Mungu na kuendana na mafundisho yake.
kuhusu freemason huna cha kunieleza wew
 
Kama mkikutana hamjadili mambo ya dini na siasa,.mnafanya Nini huko Cha ziada??
 
Natamani kujiunga na freemason lakini sina connection. Kwa yeyote anayejua anisaidie tafadhali. Niko serious
 
Kusema kweli mada kama hiz zinanivutia sn
 
Zile rituals zao zinakuwaje? Zinaendana na mafundisho na maagizo ya Mungu?

Na kuacha makusanyiko ya grand lodge zao, je wanaweza kwenda kwenye majumba ya ibada kama kanisani au msikitini? Maana naona umeandika hapa kuwa mwanachama anatakiwa awe anaamini uwepo wa Mungu na kuendana na mafundisho yake.
yeah ni kweli..ila iyo kuamini uwepo wa mungu ni brainwashing..uhalisia hauko ivo,,,ukiingia kule maanake umemuuzia shetani nafsi yako..either akupe pesa,,umaarufu,akuponye gonjwa fulani,,upewe nguvu,,usizeeke,,,n.k...wanasema uamini uwepo wa mungu ili kuwaondolea hofu wanaotaka kuingia,ukiingia ndo unapewa kiapo kila ngazi unayopanda,,,,hatarii
 
sawa..mwenzako mmoja kaja pm..ataleta mrejesho akipenda..we unaleta ujinga wa kugoogle akat huna ata mtu wa karibu ambae ni member...au ulijua ukiweka kingereza ndo utantisha.?? estupide
we jamaa wewe... kwahio amekuja PM ili umuunge na freemanson?

Mkuu kwa taarifa yako kwenda google sio aibu wala sio kitu cha kuficha..
Kwa dunia ya sasa hivi ambapo information zote zipo kiganjani kwako ni jambo la kujua tu ni wapi unatakiwa kwenda kuangalia huko google.

Sasa wewe hata hio knowledge ndogo ya google huna halafu unakuja kusema eti una mtu wa karibu yuko freemanson na eti huwa wana-recruit watu maarufu... acha uongo chief
 
Zile rituals zao zinakuwaje? Zinaendana na mafundisho na maagizo ya Mungu?

Na kuacha makusanyiko ya grand lodge zao, je wanaweza kwenda kwenye majumba ya ibada kama kanisani au msikitini? Maana naona umeandika hapa kuwa mwanachama anatakiwa awe anaamini uwepo wa Mungu na kuendana na mafundisho yake.
Mkuu wale jamaa sio lazima kuamini huyu Mungu ... wao wanataka mtu anaueamini katika uwepo wa Supernatural being..
Kwahio kama wewe unaamini Mungu flesh ,kama ni shetani flesh ,kama unaamini dunia imeumbwa na allien flesh ... cha muhimu uamini tu kwamba hii dunia haiko yenyewe...
Kwa maana hio atheists hawakaribishwi kule
 
je wale wabandika matangazo mitaani kuwa jiunge freemason ni matapeli ?
Freemason kujiunga ni kwa aina mbili kwa kupitia referral toka kwa mwana memba au wewe mwenyewe kuenda kufanya maombi ya kujiunga wale wa mtaani ni waongo watupu
 
Back
Top Bottom