What is freemansory?

What is freemansory?

hawakukatazi...ukiingia unaendelea na dini yako kama kawa
Asante mkuu kwa taarifa. Ila sasa unanitisha kidogo kama ni kumtumikia shetani huko sasa jumapili yangu kanisani itakuwaje? Na hiyo imani yangu kwa Mungu si itakuwa ya kinafiki sasa? Kama huko chamani natumika kwa lucifer afu jpili niko kwa Jehovah.

Mmh Freemasons ni chama la wanafiki wakubwa kama ndio hivyo! Na vipi mkuu, ibada zao na sadaka zinakuwagaje? Ni kupanda madaraja yapaswa kuangalia vigezo gani?

Out of topic; mkuu ulishawahi kuishi na mtu ambae ni jasusi? Awe ameasi au yupo kazini bado, ulishasikia wakihadithia kazi walizofanya? Vituo vyao vya kukutania? Operations zao, jinsi ya kuwasiliana, makazi salama, ofisi, wenzio waliopo kazini n.k... Ulishasikia yoyote akitamka hayo?

Vile viapo Vina maana kubwa. Haya yote tunayoyasikia, kuyaona kusoma sidhani kama hata yanafikia asilimia 10 ya hiyo elite and fraternity group. Ile ni jamii ya siri. Wakishaweka kila kitu wazi, haitakuwa na maana tena ya kuitwa chama cha siri.

Hivi waabudu shetani ndio hao hao Freemason? Au ni vyama viwili tofauti?
 
yeah unakua unamtumikia shetani,,maana kiuhalisia kwenye bible Mungu hapendi mtu awe vuguvugu..kwahyo automatic utakua upande wa shetani,,kusali ni jtatu na ijumaa...vyanzo vingi ni vya uongo,vingine vina ukweli kwakua unakuta mtoa habari alitoka huko..
 
Asante mkuu kwa taarifa. Ila sasa unanitisha kidogo kama ni kumtumikia shetani huko sasa jumapili yangu kanisani itakuwaje? Na hiyo imani yangu kwa Mungu si itakuwa ya kinafiki sasa? Kama huko chamani natumika kwa lucifer afu jpili niko kwa Jehovah.

Mmh Freemasons ni chama la wanafiki wakubwa kama ndio hivyo! Na vipi mkuu, ibada zao na sadaka zinakuwagaje? Ni kupanda madaraja yapaswa kuangalia vigezo gani?

Out of topic; mkuu ulishawahi kuishi na mtu ambae ni jasusi? Awe ameasi au yupo kazini bado, ulishasikia wakihadithia kazi walizofanya? Vituo vyao vya kukutania? Operations zao, jinsi ya kuwasiliana, makazi salama, ofisi, wenzio waliopo kazini n.k... Ulishasikia yoyote akitamka hayo?

Vile viapo Vina maana kubwa. Haya yote tunayoyasikia, kuyaona kusoma sidhani kama hata yanafikia asilimia 10 ya hiyo elite and fraternity group. Ile ni jamii ya siri. Wakishaweka kila kitu wazi, haitakuwa na maana tena ya kuitwa chama cha siri.

Hivi waabudu shetani ndio hao hao Freemason? Au ni vyama viwili tofauti?
kuhusu usiri upo mkubwa..maana ata first degree ya freemason anakua kama hajui lolote...kadri unavopanda ngazi ndo unajua kua kumbe vya mara ya kwanza nlikua nadanganywa..
...anyway siyo chama kizuri kujiunga,,,ndo mana kuna jamaa alikuja pm nkamwambia aweke no nimpe maelezo na ndani ya lisaa limoja alete mrejesho apa kama anahisi watu tunatania
 
Ibada ni jumatatu na ijumaa tu? Me Nilidhani daily ni congregation.

Ngoja nitafute habari za ushetani wao ndio nitajua mbivu na mbichi. Maana hawa wana Mungu hawa na wana imani zao nje ya viapo vya chama chao, si ndio?

Afu mkuu bado ufafanuzi kidogo, waabudu shetani ndio hao hao Freemason? Devil worshipping Vs Freemasons.
 
ndo hao hao...knight of templars,knight of malta,illuminati(hii ni elite group in freemason),skul....and bones,,na mengine kibao...yapo makanisa pia ambayo ukiingia ndani zaid ivo vyama vipo,,mfano sloam...no further discussion
 
Kiranga unanishaurije nijiunge na hawa ?
Sasa unaniuliza mimi kwani mimi Freemason ndugu yangu?

Mimi Atheist. Kuwa Freemason ni lazima uamini Mungu au nguvu kama ya Mungu. Hivyo siwezi kujiunga nao, hata nikitaka.

Sijafikisha vigezo.

Watafute uwaulize.

Ila kwangu mimi naona ni a social club tu, kama dini nyingine.
 
Teh

Social club kama dini nyingine hapa nimekupata chief
 
ndo hao hao...knight of templars,knight of malta,illuminati(hii ni elite group in freemason),skul....and bones,,na mengine kibao...yapo makanisa pia ambayo ukiingia ndani zaid ivo vyama vipo,,mfano sloam...no further discussion
Dah! Mkuu ingekuwa disko hapa ningedai chenji..muziki unaanza kunoga halafu dj anamimnya waya!?..hahah poa mkuu.

Shukran kwa elimu.
 
Back
Top Bottom