Zamani za kale,ilikuwa inapaswa uwe mwanaume
Coz Wanawake walikuwa wana hesabika kama c kitu (Yaani c Binadama wa kutegemewa).
Lakini pia,wanawake wengi walikuwa hawana michango katika jamii zao uki linganisha na wanaume na ndiyo maana ℅kubwa walikuwa ni Wanaume kutokana na Mfumo dume!
Japo member wa kike walikuwepo ref (Familia ya Malkia).
Lakini kadiri siku zinavyokwenda na kuzidi kuyoyoma.
Nao wame boresha vigezo na mambo yao coz hata masonic wa kike wapo na wao wana madaraja yao
Lakini Ibada zao huwa tofaut na wanaume,wao huwa wana sehemu zao maalum za kusali na huwa wapo peke yao (Wanawake Tu)
Japo kuna majira/Ibada huwa wana shiriki wote pasipo kuangalia Gender..
Ila ki Ufupi.
Masonic wa Kike Wapo Wengi Tuu
Japo imezoeleka ℅kubwa huwa Wanaume!
"There are three basic requirements to becoming a Freemason.
1. You must be a man. We are a Fraternity...."
Why Man?