What is best.being a web developer as a carrier or developing your own web

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
503
Reaction score
541
nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
 
kwangu mimi web developing ni part ya leadership natumia ujuzi wangu kutengeneza website ambazo ni msaada kwa jamii kama elimuyetu.co.tz. nimemaliza form 4 mwaka 2015 nafurahi kuwa digital change maker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom