What if?

What if?

SAS hana proven track record yoyote ile na kwa haiba yake sidhani kama uraisi wa Tanzania unamfaa. Tanzania tunahitaji raisi aliye dakika tano mbele kwa kiasi fulani. Tunahitaji mtu aliye feisty and gutsy to take on the career mafisadis.

SAS ni mpole mpole mno though kuwa mpole doesn't mean you lack principles and you can't be firm and resolute.

But CCM is still a juggernaut that will crush whoever and whatever is in its path in order to hang on to power. It's sad but that's the way I see it and therefore I'm under no illusion whatsoever that the change that we all have been longing for for decades will ultimately happen in this October.
 
Wakuu zangu najaribu kutazama possibilities hapa kwa akili ya kufikirika!..
Mathlan Dr.Slaa akipata mgombea mwenza na mgomea Urais wa Zanzibar kuwa Salim A. Salim (ambaye aoondoke CCM) itakuwa vipi?

Nimefikiria hili kwa sababu siwezi kuficha - I still have faith in this guy kwamba ni mwana Mapinduzi na anaweza kuondoka CCM kujiunga na ukombozi huu kwa sababu he has nothing to loose!

Diplomats have everything to loose!
 
siafiki Dr. SAS awe mgombea mwenza. amekulia ssem hawezi kuja kuipigania Chadema kwa sasa hasa pia ukiangalia na umri.
anyway hapa kuna mtihani mkubwa katika hilo. ila naunga mkono pendekezo la CHADEMA kukaa na CUF na kuunganisha nguvu. hili litasolve matatizo mengi sana including kumtumia Hamad Rashid.
kitendawili kingine huwa kinanijia ni cha nani atakuwa prime minister? maana hapa Tanzania tunahitaji mtu mjeshi wa kuwakimbiza mawaziri na wakuu wa mikoa nk otherwise matatizo yatajirudia hayahaya ya chichiem
 
SAS hana proven track record yoyote ile na kwa haiba yake sidhani kama uraisi wa Tanzania unamfaa. Tanzania tunahitaji raisi aliye dakika tano mbele kwa kiasi fulani. Tunahitaji mtu aliye feisty and gutsy to take on the career mafisadis.

SAS ni mpole mpole mno though kuwa mpole doesn't mean you lack principles and you can't be firm and resolute.

But CCM is still a juggernaut that will crush whoever and whatever is in its path in order to hang on to power. It's sad but that's the way I see it and therefore I'm under no illusion whatsoever that the change that we all have been longing for for decades will ultimately happen in this October.
Mkuu wangu unamsikia tu jamaa huyu yaani ni mnoko kuliko unavyofikiria..Sema Umri tu ndio unamkwaza lakini he has everything U need from a leader.

Companero,
Diplomats have everything to loose!
like what? huyu mzee kesha jijenga vya kutosha hahitaji msaada wa CCM na hakika anazo kinga zaidi ya wengi walioko CCM. Kwa muda mrefu amekuwa nje na maisha yake poa kabisa....Ila akiridi ulingoni kwa sababu sidhani Chadema wanaye inhand mgombea mzuri makamu na rais wa visiwani itakuwa pagumu sana kwa CCM.. Ile homa ya CCJ inaweza jengeka upya kwa Chadema hata kama Salim hafai kuongoza..pia yanaweza kuwa maajabu ya mzee Roger Miller - world cup.
 
Nafikiri naiona point yako mh. Mkandara na niseme hata nami nafikiri mtu kama Salim angefaa sana kuwa mgombea mwenza wa Slaa. Hii vita inamtaka mtu ambaye anaweza kupambana katika mazingira magumu, Salim anaweza. Kama hizi ndoto zingekuwa kweli, hapa tungeshangilia mafanikio ambayo hajawahi kutokea. Kwa wagombea wote tutakaowapata hata wawe wazuri namna gani, wana kazi kubwa. Kwani hamuoni tayari shughuli imeanza,
  1. Tayari imeanza kupandikizwa " Slaa anaungwa mkono na kanisa katoliki"
  2. Mgombea urais wao kuchukua fomu tu, kutwa nzima vyombo vya habari vyote vimehamia huko, Slaa hata coverage tu hakupata.
Na bado mengi tutayaona, sasa wengi hawawezi kuhimili hizi rafu, akipatikana mtu mwenye nguvu binafsi kama Salim itasaidia sana.
 
Nijuavyo siasa za Bongo ni za rangi hivyo Chadema wanatakiwa kujibu kwa vitendo wala wasibabaike na hayo machafu ya CCM ni kazi yao kucheza rafu siku zote..
Kichekesho kikubwa ni kwamba - Hao hao wanaodai haya ndio walikuwa wakisema CCM inaongozwa na Vatican sasa sielewi lini Vatican na CCM wamevunja mahusiano pengine Rostam anajua zaidi..
 
Kwa maoni yangu vyama vinajitahidi, ingawa si vyote ila baadhi vinajitahidi sana. Mazingira ya siasa hayako sawa, na wale waliotakiwa wasimamie huo usawa hawako tayari kufanya hivyo. Mfano hivi sasa Chadema na huenda hata CUF vitapata kazi kubwa katika vyombo vya habari, kampeni zote zitakwenda kwa bwana mkubwa. Ionekane kuwa hana mpinzani, na hawa waliopo hawafai ila yeye ndio best. Aah!, inaleta taabu kidogo, kama kweli yeye ndiye best wapewe nafasi na hawa wengine washindane kihalali tuone kama kweli yeye ndiye best.
 
Kiranga,
Kiranga ukizungumzia position za madaraka hapa nchini nitakubaliana na wewe kwani hazina vigezo vyovyote isipokuwa unyenyekevu..lakini kimataifa huwezi kupanda wala kupewa nafasi za juu moja hadi nyingine pasipo kufanya cha maana. Wewe fuatilia uongozi wake na mchakato wa hoja zilizokuwepo wakati akiwa ktk nyadhifa hizo utaona ni kwa kiasi gani alifanikiwa..Kufanikiwa ndicho cha maana na huwezi kumlinganisha na kiongozi yeyote Bongo walioipita - that one nakuhakikishia.

Haya ya kusema kushika position sio kitu isipokuwa kile cha maana alichokifanya nadhani cha msingi ni Kujiuliza ni position gani aloshika na akaharibu kwa sababu cha maana kwangu kinaweza kuwa sii muhimu kwako.

As far as I am concerned AU/ OAU is as shoddy as the Tanzanian gov. SAS alipata nafasi ya kuwa contender wa UN Secretary General kabla ya Koffi Annan au hata Boutros Boutros Ghali, angekuwa Mwafrika wa kwanza kuwa Secretary General wa UN, alishindwa ku mobilize the developing world behind him to pressure the State Department isimbane, State Department ikamuuliza wewe unataka kuwa Secretary General mbona nchi yako iko partisan katika swala la Israel/ Palestine, akashindwa kujibu akabaki anajiuma uma tu, hili ndilo swali lililomkosesha SAS U katibu mkuu wa UN. Leo mnampa mtu huyu accolades katika nyanja za kimataifa.

Hivi AU/ OAU kuwa Secy Gen mnaona deal? AU/ OAU hii ambayo madikteta wote down to Iddi Amin wamekuwa Chairmen by virtue of being heads of states? AU hii inayoshindwa kumkemea Mugabe? Hii copycat ya EU ambayo ilikuwa usingizini ikisubiri wazungu waanzishe vitu ndio wao wageze ? Hii talkshop watu wanapochapana vibao na ku pimp the African continent? Ambako dictators wanachelea kuwa condemn dictators wenzao wasije na wao kuwa condemned? Hii ndiyo achievement ya SAS? OAU/ AU ambayo imeshindwa kusimama kidete against dictators na human rights violators ? Hivi SAS ameweka institutions gani mpya OAU other than ku imitate EU ?

Salim kawageza Europeans wakati security level y Europe tofauti kabisa na Africa. Yaani SAS katuachia alinacha tupu AU, kila mtu anajua East African integration is a long shot, let alone a United Africa.Hivi mtu ambaye anaweza kuacha alinacha kama huyu mnaweza kum celebrate kama ana achievements? Hivi Africa ukimuacha huyo Col. Qadhdhafi anayetaka kuwa mfalme wa wafalme wa Afrika, nani anataka a United States of Africa like that ?

Leo SAS ni statesman of epic proportions?
 
Let me add to the dissapointment. SAS is just too pragmatic to carry the torch of the revolution so desired by many in TZ today. Those who have pointed to his lack of distinguished credentials as far as championing of national interests is concerned are dead right. So, is his poor decision-making record. Ask the guys who worked with the then OAU during his tenure of office and you will get the picture. One Ghanaian I met some years back, on learning that I'm a Tanzanian, simply put it to me that "your compatriot is a first class politician". I came to learn latter on that that meant the guy was extremely careful at burning his political fingers when it came to dealing with hot issues even if his doing so may burnish his leadership image. Age and long CCM nurture are less of setbacks than the man's real character itself. With his experience of articulating issues, he may make a better sideline adviser rather than a key player in the field.
 
As far as I am concerned AU/ OAU is as shoddy as the Tanzanian gov. SAS alipata nafasi ya kuwa contender wa UN Secretary General kabla ya Koffi Annan au hata Boutros Boutros Ghali, angekuwa Mwafrika wa kwanza kuwa Secretary General wa UN, alishindwa ku mobilize the developing world behind him to pressure the State Department isimbane ...

Mkuu punguza jazba kidogo. Haya mashirika ya kimataifa yana vikwazo vyake ndio maana hata akina Bush II kuna wakati walitaka kuiweka pembeni UN kwa vile hata madikteta kama akina Kim Il Jong na Ghadaffi na wakorofi kama akina Ahmedinejad, Castro, Chavez (shetani kapita) wana sauti humo ndani na ubavu wa kukanyaga ardhi ya New York bila kuguswa na mamlaka za Marekani. Aidha, usidhani Mugabe ni mbaya kuliko madikteta wa kimyakimya tulio nao nchini mwetu. Na kwa taarifa yako, (usishangae nikikwambia kwamba) uchaguzi wa Zimbabwe ni "msafi" zaidi kuliko wa hapa kwetu au wa nchi nyingi tu za Afrika.

SAS kuukosa u-SG wa UN halikuwa tatizo lake binafsi bali la Tanzania kama nchi. Bado hatujawa na mikakati mizuri ya kupigania nafasi kubwa za kimataifa. Na kwa wakati ule (pengine hata leo) misimamo yetu haikuwa pragmatic kiasi cha kutupa nafasi katika dunia hii inayoendeshwa na jeuri ya Marekani. Ndoto ya umoja wa Afrika, si mradi wa Salim bali ya viongozi wetu wanaokutana chini ya mwamvuli wa AU kwa ushawishi wa watu kama Ghadaffi. Hatuwezi kumhukumu SAS kwa hayo. Tumpe haki yake na kumkosoa kwa yale yaliyo kwenye utashi na uwezo wake.
 
Kiranga,
Mkuu andika utakayo andika lakini nakupa tu historia yake akiwa UN na report hii imetoka site yao isome kisha nambie nani kaweza kufanya aloyafanya kwa Tanzania nzima (Foreign Affair experience). Swala la secretary General ni gumu kuliko unavyofikiria kwani Tanzania kama nchi tulikuwa na msimamo wetu tukiitwa wa communist. Besides hakuna kiongozi Mtanzania aliye support Israel wakati ule..

Salim A. Salim (United Republic of Tanzania)

Elected President of the thirty-fourth session of the General Assembly

34p.jpg

Salim A. Salim, who was elected President of the sixth emergency session of the General Assembly, was President of the thirty-fourth regular session which ended on 7 January. He has been the Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations since 1970, and Chairman of the Special Committee of 24 on decolonization since 1972.

Mr. Salim is also the first Tanzanian Ambassador to Cuba (since July 1970), as well as High Commissioner to Guyana (from December 1970), Barbados (March 1971), Jamaica (April 1971) and Trinidad and Tobago (July 1971).

Prior to his assignment at the United Nations, Mr. Salim served in 1969 as Ambassador to the People's Republic of China and to the Democratic People's Republic of Korea. Earlier, he served as Director of the African and Middle East Affairs Division of the Tanzanian Ministry of Foreign Affairs in 1968 and 1969, High Commissioner to India from 1965 to 1568, and Ambassador of Zanzibar to Egypt in 1964 and 1965.
Mr. Salim served as Conference Director of the Ministerial Meeting of East and Central African States, held in Dar es Salaam in January 1969, and Secretary-General at the Ministerial Conference of Non-Aligned States, held in Dar es Salaam in April of the following year.

While serving at the United Nations, he was Chairman of the United Nations Special Mission to Niue in June/July 1972; Drafting Committee Chairman of the Political Committee of the Ministerial Conference of Non-Aligned States, Georgetown, Guyana (August 1972); Chairman of the Political Committee of the International Conference of Experts in Support of the Victims of Colonialism and Apartheid in southern Africa, Oslo (April 1973); 1975 Chairman of the Security Council's Committee on Sanctions against Southern Rhodesia; President of the Security Council (January 1976); Chairman of the high-level Ad HOC Group of the Special Committee of 24 visiting the United Kingdom, the United Republic of Tanzania, Zambia, Botswana, Mozambique and Ethiopia (April/May 1976); Chairman of the Drafting Committee of the Fifth Conference of Heads of State or Government of the non-Aligned States, Colombo (August1976), and Vice-President of the International Conference in support of the people of Zimbabwe arid Namibia and Chairman of the Committee of the Whole of that Conference, held in Maputo, Mozambique (May 1977).

Born in Zanzibar on 23 January 1942, Mr. Salim was educated at Lumumba college, Zanzibar; the University of Delhi; and the School of International Affairs at Columbia University, New York, where he received a master's degree in international affairs in January 1975. He served early in his political career as founder and First Vice-President of the All-Zanzibar Students Union (1960) and later (1961-1962) as Deputy Chief Representative of the Zanzibar Office in Havana.

In 1963, he was Chief Editor of a Zanzibar daily paper and was Secretary-General of the All-Zanzibar Journalists Organization.

Among the other international conferences and meetings he has attended prior to becoming his country's Ambassador at the United Nations are the following;
Afro-Asian Journalists Conference, Djakarta (April 1963); Afro-Asian Council Meeting, Albers (March 1964); Organization of African Unity (OAU) Assembly of Heads of State and Government, Cairo (July 1964); Second Summit Conference of Non-Aligned Countries, Cairo (October 1964); second session of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD), New Delhi (February March 1968); Summit Recting of East and Central African States, nor es Salaam (Lay 1968); OAU Liberation Committee session, Algiers (July 1968); OAU Assembly of Heads of State and Government, Algiers (September 1968); Ministerial meeting of the East and Central African States, Dar es Salaam (January 1970); OAU Council of Ministers, Addis Ababa (February 1969).

Since his appointment as Ambassador at the United Nations he has attended the following: Pacem en Maribus, Valleta, Malta (May 1970); Governing Council of the United Nations Development Programme (UNDP), Geneva (June 1970); Liberation Committee session, Algiers (July 1970); OAU Assembly of Heads of State or Government, Addis Ababa (September 1970); United Nations Security Council meeting, Addis Ababa (January /February 1972); Preparatory Committee Meetings of Non-Aligned States, Georgetown (February 1972), Kuala Lumpur (Mat 1972) and Kabul (May 1973); OAU Liberation Committee session, Accra (January 1973); United Nations Security Council meeting, Panama City (March 1973); Tenth Ordinary Session of the OAU Assembly of Heads of State or Government, Addis Ababa (May 1973); Fourth Summit Conference of Non-Aligned States, Algiers (September 1973); world Congress of Peace Forces, Moscow (October 1973) ; Co-ordinating Bureau of Non-Aligned Sates, Algiers (March 1974) ; OAU Liberation Committee session, Dar es Salaam (January 1975); Meeting of Coordinating Bureau of the Non-Aligned States, Havana (March 1975); Extraordinary Session of OAU Council of Ministers, Dar es Salaam (April 1175); Commonwealth Heads of Government Conference, Kingston (May 1975); International Seminar on the Eradication of Apartheid and in Support of the Struggle for Liberation in South Africa, Havana (May 1976); Coordinating Bureau of Non-Aligned States, Algiers (May/June 1976); Thirteenth Ordinary Session of the OAU Assembly of Heads of State or Government, Port Louis Mauritius (July 1976); Head of Tanzanian observer delegation to the Geneva Conference on Southern Rhodesia (October/December 1976); First Afro-Arab Summit Conference, Cairo (March 1977); Co-ordinating Bureau of Non-Aligned States, New Delhi (April 1977); Twenty-Ninth Ordinary Session of the OAU Liberation Committee and of the OAU Council of Ministers, Libreville (June 1977); Fourteenth Ordinary Session of the OAU Assembly of Heads of State or Government, Libreville (July 1977); World Conference for Action against Apartheid, Lagos (August 1977); Fifteenth Ordinary Session of the OAU Assembly of Heads of State or Government, Khartoum (July 1978); session of the OAU Liberation Committee, (June 1979); Tenth Ordinary Session of the OAU Assembly of Heads of State or Government, Monrovia (June 1979); and the Sixth Conference of Heads of State or Government of the Non-Aligned States, Havana (September 1979).
He has attended every regular session of the General Assembly since 1966 except for the twenty-fourth session in 1969.
Mr. Salim is married and has two children.

Source: Hapa
 
Ingekuwa vizuri ungeunganisha yote hayo yaliyosemwa kwenye hiyo CV yake na mambo mazuri ya kujivunia tuliyonayo watanzania mpaka leo. Nafikiri tuangalie mchango wake akiwa waziri na waziri mkuu baada ya hayati Sokoinne kama kuwa waziri mzuri tu wa ulinzi na kuna magari ya jeshi yalikuwa yakitambulika jkwa uhudi zake, pia aliweza kum-convince Nyerere kuingiza mitumba, pia aliwai kutambulika kwa juhudi zake katika bidhaa kama viatu 'Asante Salim'.

Angekuwa wa kutoka CCM basi angetoka 2005. Ni ngumu kidogo labda kwa sababu ya wadhifa aliokwisha kushika wa waziri mkuu!!
 
Wakuu, msitulee CV ya SAS tuleteeni mambo yakujivunia aliyoyafanya akiwa kiongozi. Tell us what SAS delivered to poor Tanzanians during his leadership. Kila kiongozi ana CV ndefu sana, lakini CV zao hazionyeshi what has been delivered. Kusema tu aliingiza MITUMBA na viatu vya ASANTE Salim, haitoshi hata kumfanya awe diwani.
 
Mkuu tunajibu hoja kulingana na hoja iliyoulizwa.
Unataka kujua nini? na wakati gani maanake mengine yamekwisha zimwa hayaonekani..

Labda nianze na mradi wa reli ya Tazara akiwa balozi wetu China, SAS na Abrahman Babu walituwezesha reli hiyo (worth over 200bn investment) pamoja na mikataba ya Textile zote. Akiwa foreign sijui unataka kujua kipi hapo maanake hesabu ni kubwa sana na wengi hapa hawawezi kuwa na kumbukumbu yake kwa sababu toka mwaka 1990 aliwekwa benchi..Kisha siku zote sifa humfuata mtawala hivyo sii rahisi wewe na wengine kukubali mchango wa Salim akiwa chini ya Nyerere au Mwinyi.

Mimi sina wasiwasi kabisa na CV ya Salim au uwezo wake ktk uongozi kwa sababu najua fika sisi Wadanganyika, mtu kama Salim hatuwezi kumpenda na sababu kubwa ni mkali, mkorofi asiyependa mchezo wa kujuana, kupeana madaraka na lelemama kazini.

Washikaji wangu waliowahi kufanya naye kazi hawakupendezewa na uongozi wake wakiwa kazini lakini baada ya wao kutazama nyuma na kujifunza toka kwa hawa wazungu wamegundua ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa..Na hakika amefanikiwa (matunda) kwa kiasi kikubwa kila wadhifa alowahi kukamata.

Kifupi, tunachotazama hapa ni nani anafaa kuwa mgombea mwenza wa Dr.Slaa toka visiwani na kuongeza nguvu ya USHINDI - Period.
 
Labda nianze na mradi wa reli ya Tazara akiwa balozi wetu China, SAS na Abrahman Babu walituwezesha reli hiyo (worth over 200bn investment) pamoja na mikataba ya Textile zote.

Ngumu sana kwangu kuamini kwamba kama isingekuwa SAS mahusiano ya Tz na China ambayo yangeleta mikataba ya TAZARA na viwanda vya nguo isingekuwapo. Hapa mkuu naona ugumu unaoupata katika kujaribu ku-attribute TAZARA/Textile na SAS. Huku ni kuokoteza. Uhusiano wa China na Tz ulijengwa na siasa za JKN, na sio kiumbe kingine, hao wengine walikuwa wapiga vuvuzela tu.

Kifupi, tunachotazama hapa ni nani anafaa kuwa mgombea mwenza wa Dr.Slaa toka visiwani na kuongeza nguvu ya USHINDI - Period.

Na katika kujibu nani anafaa, lazima tuangalie atatufaa kivipi kwa kuangalia alifanya nini la kukumbukwa. Tukishakuwa na orodha ya mambo aliyoyafanya SAS tunaweza kujiridhisha kwamba anafaa kuwa mgombea mweza. So far kwenye list kuna MITUMBA na VIATU.
 
MogonjwaUkimwi,
Ngumu sana kwangu kuamini kwamba kama isingekuwa SAS mahusiano ya Tz na China ambayo yangeleta mikataba ya TAZARA na viwanda vya nguo isingekuwapo. Hapa mkuu naona ugumu unaoupata katika kujaribu ku-attribute TAZARA/Textile na SAS. Huku ni kuokoteza. Uhusiano wa China na Tz ulijengwa na siasa za JKN, na sio kiumbe kingine, hao wengine walikuwa wapiga vuvuzela tu.
Mkuu unazungumza kwa kufahamu au unasema ili mradi kufurahisha baraza...kuokoteza kupi? wewe andika hoja inayopinga hoja yangu kwa kuelezea ilikuwa vipi maanake sio kukataa tu ili mradi unapinga wakati hujui ukweli ni upi.

Tafuta ukweli mkuu wangu Abrahman Babu ndiye aliyemshawishi Nyerere kutembelea China na ndio mwanzo wa mwalimu kupindua kwa CIA na kuja na itikadi zake za Ujamaa na Kujitegemea. By then Salim akiwa balozi na Babu (foreign) walikuwa tayari mrengo wa kushoto wenye mahusiano ya karibu na China kabla ya mwalimu.

Sikusema pasipo Salim reli isingejengwa isipokuwa the record stand Salim ndiye aliyewezesha mahusiano ya mkataba huo. Hakuna kitu chochote ktk maendeleo unaweza kusema pasipo fulani kitu hicho kisingetokea, ila sifa humfuata yule aliyewezesha kwa wakati kinahitajika.

Na katika kujibu nani anafaa, lazima tuangalie atatufaa kivipi kwa kuangalia alifanya nini la kukumbukwa. Tukishakuwa na orodha ya mambo aliyoyafanya SAS tunaweza kujiridhisha kwamba anafaa kuwa mgombea mweza. So far kwenye list kuna MITUMBA na VIATU.
Kama wewe umeona mitumba na Viatu pekee ndio vinafaa kuorodheshwa ktk sifa zake, lakini makubwa umepinga sijui unachokitaka kama sii kebehi. Mbona husemi hiyo mitumba na viatu pia ni kuokoteza! pasipo yeye bado vingeletwa nchini..
Mkuu zungumza wewe unachokijua kupinga uwezo wake na sio kutafuta watu waku feed kwa kijiko kisha upinge pasipo wewe kuwa na hoja inayopingana na ukweli huo..
 
Tafuta ukweli mkuu wangu Abrahman Babu ndiye aliyemshawishi Nyerere kutembelea China na ndio mwanzo wa mwalimu kupindua kwa CIA na kuja na itikadi zake za Ujamaa na Kujitegemea. By then Salim akiwa balozi na Babu (foreign) walikuwa tayari mrengo wa kushoto wenye mahusiano ya karibu na China kabla ya mwalimu.

Mkuu sasa unatuchanganya na kutuvuruga kana kwamba tumezaliwa jana. Awali ulisema SAS ndio aliyefanikisha mikataba ya TAZARA na textiles, sasa unamwingiza Abrahman Babu kwenye mada ambayo hausiki. Napata kizunguzungu.

Nyerere alitembelea China kwa mara ya kwanza 1965, wakati huo SAS akiwa balozi INDIA, sio China kama unavyojaribu kutudanganya. Proposal ya kichina ya ujenzi wa TAZARA iliandikwa na kukabidhiwa kwa Nyerere mwaka 1966, report ambayo ilikataliwa na Kaunda na akaikubali mwaka 1967 alipotembelea China. Mkataba wa TAZARA baina ya China, Tanzania na Zambia ulisainiwa mwaka 1967 wakati SAS akiwa balozi India. Reli akaanza kujengwa kati ya 1970 na 1975. Sasa mkuu tueleze SAS alihusika vipi katika uanzishaji wa TAZARA?
 
Kwamba chaguzi nyingi za Afrika watu wanachagua mtu sio sera ni kweli lakini kumbuka kuwa chaguzi za Tanzania sio sawa na chaguzi za Afrika, inatatiza kidogo kuona kuwa waTanzania wanachagua mgombea kutokana na chama...

Kuhusu Dr. Salim kuwa mgombea mwenza, mimi ningefurahi zaidi kuona Dr. Slaa anaunganisha nguvu na Maalim Seif. Ndugu yetu Prof. Lipumba akae pembeni. Kura zote za CUF kwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ziunganishwe na kura za CHADEMA nadhani moto wake utakuwa sio mdogo...

At least Bantugbro unatoa mawazo yanayowezekana. Let us forget about Salim! Salim amekunywa maji ya bendera. Hajawahi na hawezi ku-revolt against CCM! Kumfikiria kama mgombea mwenza ni ndoto isiyowezekana. Salim ni kiongozi wa kuwa appointed na sio mwanasiasa wa caliber ya siasa za Tanzania least to say CCM. Salim cannot push his way through! He has never put up a good political fight! Nyerere had patronized him all the way, with great hope on him... let us call a spade a spade ...alone, Salim isn't able to put up a machinery that could campaign for him and take the government. Even with great help from Warioba, he failed to convince his own Zanzibari brothers and sisters to be on his side on 2005 election! Why do we expect he's gonna do it today! Hata Butiku amenyamaza! Kwa sasa tukubali wakati wake pia umepita na ameshindwa na siasa za Tanzania.. many of us had great hope on him that he could assert himself and perhaps crossover to opposition and begin new politics, but he didn't do that! he has let us down, na atabaki CCM milele!
 
MgonjwaUkimwi,
Mkuu wangu kama unataka kuhoji kitu usianze na maelezo yako mwenyewe. Yes nimekosea kusema SAS alikuwa balozi wetu China kinmakosa badala ya kuandika India kwani najua fika kwamba balozi wetu China wakati huo alikuwa Tewa Said Tewa ambaye ndiye alimtambulisha mwalimu kwa makamu Premier wa Beijin Chen Yi alipotembea China.

Usichojua ni kwamba Umma Party chini ya Babu na kina Salim walikwisha establish mawasiliano na China hata kabla ya mapinduzi ya mwaka 1964 hivyo kuwepo kwake Ubalozi India haina maana Salim asingeweza kushiriki kikamilifu katika mipango ya mkataba wa reli hiyo. Sijui kama umewahi kumsikia mwanahabari wa New China News Agency akiitwa Chao Liang ambaye aliingia nchini mwaka 1961 na jeshi la waandishi wa habari pamoja na economic technicians (around 140 personnel) ) kiasi kwamba hofu ya Ukomunist kuingia East Afrika ilipo washwa cheche..nauliza hivi kwa sababu watu wengi hawaelewi kwan nini Mapinduzi ya Zanzibar yalichukuliwa kama Ukomunist umeingia zanzibar pasipo kujua mawasiliano ya awali baina ya China na viongozi wanasiasa ngazi za juu visiwani kina Babu, Salim, Kassim Hanga, Othaman Sharif, Makame na Ali Mahfudh.

Na ukumbuke tu kwamba Nyerere na Kaunda walitaka kujenga reli hawakwenda China kwanza, baada ya Uhuru wa Zambia tu swala la Reli lilikuja na sii kweli Kaunda alikataa report isipokuwa kujengwa na China wakomunist na hata hivyo walikosa donors. Waliwafuata waingereza wakawtolea nje, World bank, USSR, USA na Japan wote walikataa kutupa mkopo.

Sasa wewe jiulize ikiwa nchi tajiri kama US,UK na Japan zimemtolea nje iweje China ambayo ilikuwa maskini ghafla mwalimu apange safari ya kwenda huko na kukubaliwa ujenzi wa reli ambao kama sikosei tunazungumzia 100bn pound tena kwa wakati ule!.
Hivyo msafara wa mwalimu kwenda China haukuwa wa bahati mbaya hata kidogo. Na kwa bahati mbaya sipo hapa kukuridhisha wewe mwenye kutafuta makosa ktk nukuu za watu badala ya kuzungumzia issue iliyopo. Nyerere hakuwa Mjamaa kwa bahati mbaya au alipenda yeye isipokuwa alivutwa na wajamaa waliomtangulia.

Mkuu nakujua sana kwamba kazi yako kubwa ni kutafuta wapi naweza kumtoa nishai Mkandara kwa makosa ya uandishi, lakini mimi sipo hapa kumtafutia makosa MgonjwaUkimwi ila huzungumzi hoja kwa yale nayoyajua..Cha ziada issue hapa sio Mkandara ila Salim kama mgombea mwenza wa Dr.Slaa. Wewe andika kuhusu Salim tutakupongeza kwa mapungufu yake unayoyajua wewe..​

Hakika nimemtaja Abrahman Babu kwa sana tu kwani najua fika ndiye nyota yangu mimi ktk viongozi woote wa Tanzania waliowahi kuwepo na wajao, tena naweza sema yupo juu na zaidi hata ya Nyerere - Ni mtazamo wangu mimi. Na nina hakika ndiye aliyemtonya Chu en Lai kuhusu mahitaji yetu ya reli na Chu el Lai akaahidi kulifikisha mbele kwa mzee Mao Tse Tung..
What U don't know is who was making follow up kufikia mkataba kuwekwa.​
 
MgonjwaUkimwi,
Mkuu wangu kama unataka kuhoji kitu usianze na maelezo yako mwenyewe. Yes nimekosea kusema SAS alikuwa balozi wetu China kinmakosa badala ya kuandika India kwani najua fika kwamba balozi wetu China wakati huo alikuwa Tewa Said Tewa ambaye ndiye alimtambulisha mwalimu kwa makamu Premier wa Beijin Chen Yi alipotembea China.

Usichojua ni kwamba Umma Party chini ya Babu na kina Salim walikwisha establish mawasiliano na China hata kabla ya mapinduzi ya mwaka 1964 hivyo kuwepo kwake Ubalozi India haina maana Salim asingeweza kushiriki kikamilifu katika mipango ya mkataba wa reli hiyo. Sijui kama umewahi kumsikia mwanahabari wa New China News Agency akiitwa Chao Liang ambaye aliingia nchini mwaka 1961 na jeshi la waandishi wa habari pamoja na economic technicians (around 140 personnel) ) kiasi kwamba hofu ya Ukomunist kuingia East Afrika ilipo washwa cheche..nauliza hivi kwa sababu watu wengi hawaelewi kwan nini Mapinduzi ya Zanzibar yalichukuliwa kama Ukomunist umeingia zanzibar pasipo kujua mawasiliano ya awali baina ya China na viongozi wanasiasa ngazi za juu visiwani kina Babu, Salim, Kassim Hanga, Othaman Sharif, Makame na Ali Mahfudh.

Na ukumbuke tu kwamba Nyerere na Kaunda walitaka kujenga reli hawakwenda China kwanza, baada ya Uhuru wa Zambia tu swala la Reli lilikuja na sii kweli Kaunda alikataa report isipokuwa kujengwa na China wakomunist na hata hivyo walikosa donors. Waliwafuata waingereza wakawtolea nje, World bank, USSR, USA na Japan wote walikataa kutupa mkopo.

Sasa wewe jiulize ikiwa nchi tajiri kama US,UK na Japan zimemtolea nje iweje China ambayo ilikuwa maskini ghafla mwalimu apange safari ya kwenda huko na kukubaliwa ujenzi wa reli ambao kama sikosei tunazungumzia 100bn pound tena kwa wakati ule!.
Hivyo msafara wa mwalimu kwenda China haukuwa wa bahati mbaya hata kidogo. Na kwa bahati mbaya sipo hapa kukuridhisha wewe mwenye kutafuta makosa ktk nukuu za watu badala ya kuzungumzia issue iliyopo. Nyerere hakuwa Mjamaa kwa bahati mbaya au alipenda yeye isipokuwa alivutwa na wajamaa waliomtangulia.

Mkuu nakujua sana kwamba kazi yako kubwa ni kutafuta wapi naweza kumtoa nishai Mkandara kwa makosa ya uandishi, lakini mimi sipo hapa kumtafutia makosa MgonjwaUkimwi ila huzungumzi hoja kwa yale nayoyajua..Cha ziada issue hapa sio Mkandara ila Salim kama mgombea mwenza wa Dr.Slaa. Wewe andika kuhusu Salim tutakupongeza kwa mapungufu yake unayoyajua wewe..

Hakika nimemtaja Abrahman Babu kwa sana tu kwani najua fika ndiye nyota yangu mimi ktk viongozi woote wa Tanzania waliowahi kuwepo na wajao, tena naweza sema yupo juu na zaidi hata ya Nyerere - Ni mtazamo wangu mimi. Na nina hakika ndiye aliyemtonya Chu en Lai kuhusu mahitaji yetu ya reli na Chu el Lai akaahidi kulifikisha mbele kwa mzee Mao Tse Tung..
What U don't know is who was making follow up kufikia mkataba kuwekwa.

Mkuu, wote hapa JF ni wakongwe wa kukata issue. Sitegemei kwamba utakwenda "personal" katika mjadala huu kama inavyoonekana kwenye mistari kadhaa ya posting yako.

Posting yako ndefu bado haituambii kwa vipi TAZARA ni miongoni mwa mafanikio ya SAS ambayo tunaweza kujivunia.

At one point kwenye posting yako unajaribu kutushawishi kwamba Nyerere alikuwa mjamaa kwa kushawishiwa na akina Babu na SAS, sijui haya umeyatoa wapi maana historia ya ujamaa wa JKN haisomeki hivyo. Nisingependa nitumbukie kwenye mada nyingine juu ya ujamaa wa Nyerere, ila ningependa sana nijuwe SAS anapataje credit ya uanzishaji wa TAZARA.
 
Back
Top Bottom