What if Mange ni mpango wa serikali?

What if Mange ni mpango wa serikali?

Boss kama hiki ndicho ulichofikiri bila external influence yoyote,basi jitambue rasmi una uwezo mdogo sana wa kufikiri...yaan unafananisha tukio la Sept 11 na tukio la maandamano ya 29th...are you serious??Hivi hata hizo research zinazochambua 9/11 consipiracy theories sijui hata kama umezisoma aisee?...
kuna tafauti kati ya consipiracy na research, kwa sisi tunaofuatilia ile issue mpaka sasa tunajua waliotoa consipiracy na research, mfano engineer wengi wamekubali hakuna jengo linaweza kuanguka kutoka juu mpaka chini, hizo ni research kama umezoea consipiracy sasa usizilete uku

yale hayakua maandamano ulikua wizi, hivo basi ukisema wananchi waliandamana huo ni uongo so ile influence haikua ya kawaida,
 
Mange ameplay part kama influencer tu,Hiki kizazi kinatambua haki,kinatambua wajibu wa viongozi/serikali kwa watu wake na kinatambua kuna tatizo kubwa la kiuongozi na kimfumo ambalo ndio chanzo cha,ukosefu wa ajira uminywaji wa haki za raia,umasikini uliokithiri kwa Watanzania wengi wakati wachache wakijilia mkate wa nchii hii kama vile nchii hii ni mali yao binafsi...Mange hajaingiza watu barabarani,Mange ameonesha kwa ushahidi tu vijana kupitia vyanzo vyake jinsi nchi inavyoliwa na wachache.Mange is nobody ...kukimbilia kudeal na mtoa taarifa za uhalifu na kuacha kupambana na uhalifu ni tatizo kubwa zaidi na ni kiburi cha tabaka la Walaji.
 
kuna tafauti kati ya consipiracy na research, kwa sisi tunaofuatilia ile issue mpaka sasa tunajua waliotoa consipiracy na research, mfano engineer wengi wamekubali hakuna jengo linaweza kuanguka kutoka juu mpaka chini, hizo ni research kama umezoea consipiracy sasa usizilete uku

yale hayakua maandamano ulikua wizi, hivo basi ukisema wananchi waliandamana huo ni uongo so ile influence haikua ya kawaida,
Research za hao Engineer unaowazungumzia zote zilikuwa based on existing conspiracy theories regarding collapsing of twin tower. ...anyway sidhani kama kuna haja ya kwenda kwenye 9/11 issues..
Iwapo wewe ni Mtanzania na hujaona tatizo la kimfumo na kiuongozi lililopo katika Nchi yako, mimi ni nani nikulazimishe hilo.
Watanzania hatuna hizo tamaduni za demostration,ila binadamu mwenye hasira akichoka huwezi mpangia cha kufanya.
 
nlioona na nkakupuuza kwa sababu umeshindwa kwenda ata online kuuliza kama qr code inaweza kufutwa
Niende online wapi hebu elezea vizuri.

Una habari wenye mamlaka ya kutoa maelezo kuhusu ufutwaji wa risiti hiyo ni TRA na sio huko online unapopasema?

Je hiyo risiti haikua halali au ni halali?

Kwanini baada ya hiyo risiti kuja public ndio QR code ikawa deactivated wakati miaka yote 4 waliiacha??

Mtoa hizo pesa ana biashara gani za kumpa ubilionea ndani ya muda mfupi ambayo haitambuliki kirahisi kwenye jamii.

Hebu jibu hayo maswali halafu tuendelee.

Huwezi kupuuza facts wewe kidampa wa mafisadi.
 
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu

Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Ni mtu mjinga tu wa CCM asiyeona kuwa sababu ya maandamano ni ufisadi uliokithiri,kutekwa kwa watu,uchaguzi hewa,utendaji mbovu maofisini,rushwa,vijana kutokuwa na ajira Nk.ni mtu mjinga tu asiyeona hilo.samuya na genge lake watalipia damu za watanzania na hawataepuka na hilo kwa namna yoyote.na damu huwa inalipwa kwa damu.
 
Haya maandamano yalibustiwa na soja wenjew walikuwa wanapita wanahamasisha tukichafue, nilishuhudia kwa macho yangu gari la jeshi limepita wananyanyua mikono wakitoa ishara ya hamasa tuingie barabarani, nashangaa dk za jioni wakatusarti
 
onyesha document za usajili zinazoonyesha zinamilikiwa na hao mafisadi
Janja janja ya mafisadi inafahamika vizuri kuwa huweka utambulisho wa kunguni na machawa wao kuficha uhalisia. Huwezi kushindana na umma, elewa hilo
 
Janja janja ya mafisadi inafahamika vizuri kuwa huweka utambulisho wa kunguni na machawa wao kuficha uhalisia. Huwezi kushindana na umma, elewa hilo
kama huna data ni bora ukae kimya
 
Kwa wale ambao mlifuatilia research nzima ya september 11, tutakubaliana lile tukio lilifanyika na serikali ya marekani wenyewe, zipo research karibia 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea tukio la sep 11 na 70% walisema tukio lilifanyika na serikali yenyewe, kwa lugha nyepesi (INSIDE JOB) kwa wale ambao mnafuatilia main stream media huenda ukawa unajua kuhusu osama peke yake lakini zipo tafiti 172 mpaka sasa zilizofanyika kuelezea lile tukio na conclusion ilikua serikali walihusika wenyewe, tuje kwetu

Tutakubaliana mpaka sasa hakuna sababu ya msingi yoyote ya kuelezea kwann yale maadamano yalifanyika, kila mtu alkua na lake wengine wakaishia kuchoma biashara za watu, miundo mbinu(WAPUMBAVU WA MWISHO) lakini ushawahi kujiuliza vp kama mange yupo pale kwa agenda muhimu?
Uwezo wako wa kufikilia ni mdg sana kjana
 
Back
Top Bottom