permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,485
- 15,298
Zlatan alinunua hisa nyingi huko Sweden katika timu iliyokuwa ni mpinzani wa jadi wa timu aliyokuwa anachezea, kutokana na kununua hisa katika timu pinzani, mashabiki walichoma na kukuta sanamu ya bronze aliyokuwa amejengewa kwa heshma, hapo napo utasema ni bongo au hoja itabadilika?Kwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.
Hivi hujui maana ya haki ya mtu katika kufanya maamuzi juu ya maisha yake.
Mpira wa bongo una mashabiki wa ajabu sana, juzi Ronaldo karudi Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya timu yake ya zamani ambayo aligoma kuongeza mkataba na wakampokea VIP kabisa. Na mashabiki walimshangilia. Bongo ukihama timu wanasema una jeuri. Mi nilitegemea useme aliwatukana, kashfa, lugha chafu, dharau kumbe unasema kuzima simu na kugoma kusaini.
Sure, na Mbwana sio Victor WanyamaLakini Gadiel sio Mbwana
Hakuzongwa Bali alikubali makubaliano ya awali yeye na meneja wake lakin baadae akabadili gia angani had kwa meneja wake na kuzima simuRonaldo hawakumzonga kumlazimisha kubaki bali walimpa uhuru wa kuchagua. Hapa bongo timu ikikusajili inajifanya kama guardian angel wako.
Mtu amethibitisha kuondoka yanini kulazimisha kupiga simu, kumfata wapi sijui, kumzongazonga. Kwa nini asizime simu katika hali hiyo? Hakuna jeuri katika hilo.
Mambo mengine ni rahisi sana usipanic,hivi kama wewe unafundisha timu A kwa umebakisha mkataba na timu zimebaki siku 2 mkataba uishe halafu bosi anampigia yeye anazima siku hadi kwa meneja wake hizi sio dharau?Kumbuka bosi anabaki kuwa bosi bora uwaambie kuwa sisaini nishasaini mkataba na simba kama alivyofanya AJIB kuwakataa TP mazembe kwa kuwa alishasaini simba hata Gadiel angefanya hivyo basi.Unasema sijui historia ya soka, ni kweli sijui historia hiyo. Sasa sijui kama soka linachezwa kwa historia au kujadili soka la sasa ni lazima sana ujue lililopita. Kwani kuna haja gani ya kuwa na wachezaji wapya, uongozi mpya, mashabiki wapya, mbinu mpya. Kutojua historia sioni tatizo liko wapi kwa case hii ya Gadiel.
Kwamba mimi shabiki wa Simba. Ni kwamba sina timu bali nashabikia soka safi lisilo na uswahili mwingi. Niko neutral na naweza mpinga au kumsupport yeyote.
Umesema Figo aliondoka kwa dharau, hiyo sikujua kama alileta dharau. Ninachojua walimchukia kwa performance yake aliyokuwa anaonyesha pindi timu hizo zikikutana. Ndo maana hadi leo hawawezi fanya transfer ya Barca to Madrid au kinyume chake.
Mkuu naomba unitajie hizo dharau alizoonesha Gadiel maana sijaziona kwenye andiko. Kuzima simu na kutosaini sio dharau.
Uko sahihi...kakolanya ni bogus kabisa...yaani mtu was mikia anakuja kambini kwa yanga saa sita usiku halafu unatoka naye na kutokomea...ni msaliti...hovyo kabisa...Alikosa akili Tu hawa wachezaji wetu bogus sana
Gadieli ni mchezaji wa kawaida sana...ila Ajibu alikuwa na kipaji tatizo alijiona yupo level za kina Ronaldo...na sasahivi umri umeshamtupa hatutegemei kipya kutoka kwake...
Mashabiki wa kutoka kijijini huwaga wajibu hivi, kwahiyo lacazette alimloga Giroud hadi akauzwa?Gadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
Watoto was kiume huwa hawazimi simu, wao huwa wanajibu moja ndio au hapanaKwa hiyo kuzima simu na kugoma kusaini mkataba ni dharau? Kama ilikuwa ni lazima si mgesaini wenyewe sasa.
Hivi hujui maana ya haki ya mtu katika kufanya maamuzi juu ya maisha yake.
Mpira wa bongo una mashabiki wa ajabu sana, juzi Ronaldo karudi Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya timu yake ya zamani ambayo aligoma kuongeza mkataba na wakampokea VIP kabisa. Na mashabiki walimshangilia. Bongo ukihama timu wanasema una jeuri. Mi nilitegemea useme aliwatukana, kashfa, lugha chafu, dharau kumbe unasema kuzima simu na kugoma kusaini.
Hi I umesahau gadiel alivyolazimisha kuhama Azam wakati bado Ana mkataba mpaka viongozi wenu wakadai ingekuwa Simba wangemwachia kwa hiyo wakati ule alikuwa na adabuSiyo kila kitu kinaandikwa mitandaoni...wauulize wenzio kwa maana ya vijana wenzio gadiel alitamka maneno gani kuhusu yanga...pengine watakwambia...halafu kitu kimoja nakuomba usiwaone wachangiaji wenzio kuwa hawajui Mambo...
Ni Nani amesema hivyo kwamba eti wakati ule alikuwa na adabu...kosa ni kosa tu....alipokuja Yanga alipokelewa na akacheza mpira...akaheshimiwa..lakini baadaye akajiingiza kwenye hujuma na tamaa...akaenda huko walikomrubuni...Sasa huko bila Shaka hana amani kabisa...mwenzie Chirwa naye alikuwa hivyo akataka kurudi akakataliwa...ngoma naye yupo yupo tu...kakolanya naye 'mzee' wa kuondoka kambini saa sita usiku naye ndiyo hivyo Tena...Hi I umesahau gadiel alivyolazimisha kuhama Azam wakati bado Ana mkataba mpaka viongozi wenu wakadai ingekuwa Simba wangemwachia kwa hiyo wakati ule alikuwa na adabu
Nyingi mlimchukua Hassan kessy kwa mbwembwe Nini kilitokea kwa kifupi hamjielewiNi Nani amesema hivyo kwamba eti wakati ule alikuwa na adabu...kosa ni kosa tu....alipokuja Yanga alipokelewa na akacheza mpira...akaheshimiwa..lakini baadaye akajiingiza kwenye hujuma na tamaa...akaenda huko walikomrubuni...Sasa huko bila Shaka hana amani kabisa...mwenzie Chirwa naye alikuwa hivyo akataka kurudi akakataliwa...ngoma naye yupo yupo tu...kakolanya naye 'mzee' wa kuondoka kambini saa sita usiku naye ndiyo hivyo Tena...
Hatuzungumzii tabia ya mashabiki...tunazungumzia tabia ya mchezaji...pamoja na hayo kessy Yuko vizuri kisoka huko aliko...Nyingi mlimchukua Hassan kessy kwa mbwembwe Nini kilitokea kwa kifupi hamjielewi
Mkataba ukiisha, atazidi kuchakaa bado mdogo, wenzetu ulaya wanathamin namba kuliko kukaa benchiMtafute Gadiel mwenyewe... maana hajawahi kulalamika. Na anazidi kunawiri tu.
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu. Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel.