Na Shopers Plaza ipo kata gani!
Na Shopers Plaza ipo kata gani!
Mkuu uli skuli mikocheni A au?
Lets go this way ritz...
Mpaka kati ya Mikocheni na Msasani ni Barabara ya zamani ya Bagamoyo,
sawasawa?
Figures maarufu za Mikocheni ni Shoppers' Plaza, Shule ya FEZA Praimari na Restaurant PIZZERIA bila kusahau vituo vya mafuta vya Engen na BP jees to mention the few,
sawasawa?
Eneo ulilolitaja la Maandazi Road linaangukia Msasani katika muktadha huu, features zingine ni pamoja na MayFAIR Plaza, ofisi za TANESCO Kinondoni North, Heinneken The Arcade, Kawe Beach, Msasani Club, Msasani Beach Club(do not comfuse with the first one), Dar Villas, US Embassy na nyumba ya the African Legend, The one and only, the man himself, THE LATE MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE!
Zamani nikiwa mdogo, eneo la Mikocheni 'A' lilikuwa sehemu ya kata ya Msasani, na diwani by that time was someone Mwaimu wa Msasani, mchanganuo niliouonesha hapo juu ndio hali halisi ya sasa!
Swali?
hapana mkuu, mimi nimeskuli Msasani S.M.
Ila nimeishi Mikocheni karibu maisha yangu yote, and well detailed kuhusu Mikocheni S. M. Nawafahamu walimu Samgeni, Kondo, Golden, Kilongo, Makava just to mention em few.
Ni-PM tuseme zaidi!
shopers ipo mikocheni.
Mphamvu,
Nashukuru kwa ufafanuzi wako murua, na Kawe inaanzia wapi inashia wapi?
Vp pale kisiwani- msasani nyuma ya myfair wakazi wa pale wameshalipwa wote?
Kweli unaijua Mikocheni vizuri pamoja na Msasani..
Kesho takupa ofa ya Bufee pale Shopers Plaza!
silagi vyakula vya kabila ile, labda unitoe kwa Mpemba pale Maandazi Rd.
Afu kesho nina miadi na mwana-JF fulani, sitakuwa available!
Sawasawa?
Basi tutaenda Masaki kwenye mishikaki au Kawe Samaki Samaki!
Ukweli matangazo yalikuwa machache hata mc alikiri hilo
Hongera sana dada Halima,tunashukuru kwa kazi nzuri ya kuwatumikia watu wako.
...Umenikumbusha Maalim Seif.sawasawa?
...Umenikumbusha Maalim Seif.