Topic ni uwezeshwaji wa vijana na akina mama! Ishu ni mikopo ya fedha na vitendea kazi.
Mkuu kama topic ndiyo hizo mbona mwitikio wa watu ni mdogo sasa?vijana na kina dada wa dar mbona wako kushoto sana na siasa wakati ndo wanapaswa kuwa chachu ya mabadiliko kinyume na mikoa mingine kama mby,arsh,shy na mza?Hapa kwetu kama mkutano unakuwa na ajenda kama hizi ukiitishwa vijana na akina dada ambao ni waendesha pikipiki,machinga,mama ntilie huhudhuria kwa wingi na hasa akiwepo kamanda toka chadema kama ilivyotokea kwa mdee kuwapo mkutanoni basi mahudhurio huwa ni kufuru so why dar mko nyuma sana na kiukweli vijana dar ndo wanaonekana kupigika kuliko???!!!
anasemaje kuhusu kuboresha maisha, makazi na miundombinu ya eneo la Mikocheni kwa Esta ambako in case of fire jhata gari ya zimamoto haiwezi kuingia?
Mkuu kama topic ndiyo hizo mbona mwitikio wa watu ni mdogo sasa?vijana na kina dada wa dar mbona wako kushoto sana na siasa wakati ndo wanapaswa kuwa chachu ya mabadiliko kinyume na mikoa mingine kama mby,arsh,shy na mza?Hapa kwetu kama mkutano unakuwa na ajenda kama hizi ukiitishwa vijana na akina dada ambao ni waendesha pikipiki,machinga,mama ntilie huhudhuria kwa wingi na hasa akiwepo kamanda toka chadema kama ilivyotokea kwa mdee kuwapo mkutanoni basi mahudhurio huwa ni kufuru so why dar mko nyuma sana na kiukweli vijana dar ndo wanaonekana kupigika kuliko???!!!
mi mwenyewe ni mkazi wa mikocheni lakini sikuwa na taarifa za mkutano, laiti ningejua ningehudhuria.
Usiwasumbue, wako bize,
Wanasikiliza Clouds FM.
Vipi wakazi wa Mandazi road hawajazungumziwa?
Uko sahihi ongezea na kuuza vile vinanihii vyao vya pweza na kuchoma vile vcd feki na kuviuza kwa buku na havina wateja ngoja sugu akomae na ile sheria ya hati miliki kwa wasanii ikae sawa tuone watafanya nini make nasikia hata pikipiki dar marufuku kuingia kati ya jiji, ila mkuu wasidie kimawazo au wachache waje mwanza tuwape darasa la mabadiliko

huko nadhani ni kata nyingine, kwa leo ilikuwa ni Mikocheni...
Sawasawa?

Mkuu usijibu kitu usichokijua labda nikuulize unajua mandazi road ipo sehemu gani mikocheni?
maandazi road c ipo nyuma ya USA embassy. Hiyo ipo kata ya msasani