Mimi binafsi nimezungumza.
Nimesema kuhusu barabara ya lami nyepesi, itakayopita kwa matajiri pekee na sio kwa masikini.
Nimeshauri utaratibu wa recycling ya takataka uwekwe ili kudeal na takataka hapa Mikocheni na Tanganyika kwa ujumla.
Mwisho nimehoji mustakabali wetu as mpango wa makazi utakapofika kwetu kwa hisani ya Tibaijuka!