Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Kumbe dada Wingu mnakuwa nae saloon? Vipi kuhusu kitchen party mnakuwa nae tena?Yupo katesh huko anahangaika wakati jimboni mwake hali mbaya.Akiwa mjini yeye ni kushinda saluni
kwani DSM kuna majimbo mawili tu? Mbona Huku kigamboni Hali ni mbaya lakini wanazi wa ccm kila kukicha ni ubungo na kawe?Dah!Ila kama wafuasi wa Chadema ndo wa stahili hii ambao hatutaki kuambiwa ukweli au ushauri ni hatari.Lets think green and analyse things critically.Haiwezekani tupende kusifiwa tu,hii inaweza ikatugharimu sana mbeleni.Tuwe na political tolerance!!!!
du! ZeMarcopolo utakuwa umebadilika sana siamini Kama haya maandishi yametoka kwenye keyboard yako mkuu big up!!!!!!!!!!Wakati mwingine wabunge huwa mnawalaumu bure. Wananchi wenyewe hawana ari ya maendeleo kwa hiyo hata mbunge akiwa na mzuka vipi unazimika tu kutokana na jinsi jamii ilivyorelax kwenye dimbwi la umasikini...
nendeni KINONDONI STUDIO MTAMKUTA PALE SALOON, yupo muda wote.
kwani dsm kuna majimbo mawili tu? Mbona huku kigamboni hali ni mbaya lakini wanazi wa ccm kila kukicha ni ubungo na kawe?
Mtu wa Shamba nakubaliana na wewe kabisa.
du! ZeMarcopolo utakuwa umebadilika sana siamini Kama haya maandishi yametoka kwenye keyboard yako mkuu big up!!!!!!!!!!
we vipi??
Sasa tuirkebishe ccm sisi ya nini?
Tushaichoka na tunaiacha ijifie
inayostahili kukosolewa ni cdm ili ijipange vyema
wewe hutaki hilo,,sasa unataka chadema isikosolewe??
Punguza mihemko hiyo ndugu...
Wakati mwingine wabunge huwa mnawalaumu bure. Wananchi wenyewe hawana ari ya maendeleo kwa hiyo hata mbunge akiwa na mzuka vipi unazimika tu kutokana na jinsi jamii ilivyorelax kwenye dimbwi la umasikini...
du! ZeMarcopolo utakuwa umebadilika sana siamini Kama haya maandishi yametoka kwenye keyboard yako mkuu big up!!!!!!!!!!