Wana Kawe twamshangaa mbunge wetu kwa vile suala la madaktari alivalilia mbuga kuvunjwa kwa haki za binadamu wakati suala la jeshi la polisi kuwapiga mabomu wapiga kura wake kule Madale yuko kimya??
Kosa lako ni kukisemea Chama wakati wewe sio msemaji waoMkuu Mwita,
Mtu anamtafuta mbunge wake hamuoni mimi namfahamisha wapi alipo kosa langu nini?
Chama
Gongo la mboto DSM
Mwita nakubaliana na wewe kuwa Mbunge Mdee ni makini akiwa mjengoni LAKINI hana utashi wa kufuta kero za wapiga kura wake. Nitamsifia iwapo amesoma alama na kuona hana tena mvuto kwa wapiga kura hivyo anajiwekea mazingira mazuri ya kutogombea mwaka 2015.MAFILILI ulitaka Halima Mdee aingie misikitini huko ununio kuwahamasisha waislamu kuwa tayari kushiriki sensa ili apigwe kama walivyomfanyia mkuu wa wilaya ya kilwa!?
Si kila jambo linalotokea lazima mbunge atoe kauli. Mambo mengine ni ya utendaji zaidi kuliko porojo za majukwaani.
Halima Mdee ni mbunge makini sana kiasi cha kuwapandisha pressure manyang'au wa ccm.
Mkuu Mwita,
Mtu anamtafuta mbunge wake hamuoni mimi namfahamisha wapi alipo kosa langu nini?
Chama
Gongo la mboto DSM
Kweli aisee,huu uwanja hapa jogoo wa mpira,umewekewa fensi kubwa!alikua alishiriakiana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa aitwae Juma mnanka!jamaa ana tamaa sana ya mali za wananchi!mbunge tusaidie wapige kuraa wakoMbunge wa CCM wa tarime amepora uwanja wa mpira wa miguu mbezi beach eneo la jogoo. Halima mdee uko wapi?
Mwita nakubaliana na wewe kuwa Mbunge Mdee ni makini akiwa mjengoni LAKINI hana utashi wa kufuta kero za wapiga kura wake. Nitamsifia iwapo amesoma alama na kuona hana tena mvuto kwa wapiga kura hivyo anajiwekea mazingira mazuri ya kutogombea mwaka 2015.
Mbunge wa CCM wa tarime amepora uwanja wa mpira wa miguu mbezi beach eneo la jogoo. Halima mdee uko wapi?
Mkuu utalifikisha wapi wakati wenye serikali ndio wamepora?mwenyekiti wa serikali ya mtaa ndio kinara wa uvamizi!Wakati mnamsubiri mbunge, mmechukua hatua gani za kulifikisha suala hili katika vyombo husika vya kiserikali?
Wakati mnamsubiri mbunge, mmechukua hatua gani za kulifikisha suala hili katika vyombo husika vya kiserikali?
Siamini maneno haya yanatoka kwako. Uyatoe tena September 015
Kwahiyo unawashauri waendelee kukaa kimya wakimtazama nyambari akiwadhulumu uwanja kisa mbunge hajasema neno?
September 015 kutakuwa na nini bibie hadi ujiwekee malengo?
Wakati mnamsubiri mbunge, mmechukua hatua gani za kulifikisha suala hili katika vyombo husika vya kiserikali?
Samahani kwa kutoa malalamiko dhidi ya mbunge wangu. Mie mambo ya Temeke, Ilala, Ubungo nk hayanihusu nimezungumzia mbunge wetu. Wapiga kura wamepigwa na polisi pia wakachomewa nyumba na mashamba yeye ameshindwa kuwasaidia wala kuwapa pole. Kuwa mkweli Halima Mdee hatupi haki yetu wana Kawe