tujulisheni ni basi yapi ha​yo sisi wanakerekwe....
hebu taja hayo mambo mengine anayotetea huko bungeni nikueleweshe !
Hivi Dr. Makongoro Mahanga, mbunge wa Segerea ameshafanya nini bungeni kuwawakilisha wananchi wake?
Hivi Mheshimiwa Abas Mtemvu, mbunge wa Temeke ameshafanya nini bungeni/jimboni kwake?
Hivi Mheshimiwa Mwaiposa Eugeni Elishiringa wa Ukonga ameshafanya nini bungeni/jimboni kwake?
Hivi Mheshimiwa Ndugulile Faustine Engelbert mnamjua ni mbunge wa wapi? Mmeshamsikia? Kwa lipi la uwakilishi wa watu wake/watanzania wanyonge?
Basi hawa tuwalinganishe na aliyoyafanya Mh. Mdee ndani ya bunge na Jimboni kwake.
the topic is about kawe.... hayo mengine weka pembeni.... wananchi wa Kawe ndio wamemchagua aende kuwawakilisha na kufikisha kero zao ili sulisho zipatikane.... jamani inamaana ni ngumu hata kutaja angalau kimmoja alichofanikiwa hadi sasa hivi juu ya kero za Kawe????????
Wakazi wa kawe? Mbona swali linaeleweka?
Tuhabarisheni mazuri ya mh. Mdee jimboni kwake?
hata hili la matumizi ya kodi amefikia wapi kuna kero nyingi kawe kama ujambazi, mambo ya viwanja vyenye migogoro n.k nikimsikia anaongelea tu mambo ya kitaifa na siyo mambo mahsusi kwa wana KaweKwani halima mdee ndio anakusanya kodi? Yeye kazi yake ni kufuatilia matumizi ya kodi yetu
hata hili la matumizi ya kodi amefikia wapi kuna kero nyingi kawe kama ujambazi, mambo ya viwanja vyenye migogoro n.k nikimsikia anaongelea tu mambo ya kitaifa na siyo mambo mahsusi kwa wana Kawe
Kwi! Kwi! Kwi ! Kwi! Teh! Teh! Teh! Mkuu halima mdee siyo polisi na wala siyo afisa aridhihata hili la matumizi ya kodi amefikia wapi kuna kero nyingi kawe kama ujambazi, mambo ya viwanja vyenye migogoro n.k nikimsikia anaongelea tu mambo ya kitaifa na siyo mambo mahsusi kwa wana Kawe
halima mdee kama mwakilishi wa wana kawe ndio mwenye haki ya kuiuliza serikali imefanya yapi pale jimboni kawe kuanzia uhuru mpaka leo hii.
hayo baadae kwa sasa naomba kujua hili la Mdee na alichofanya ndani ya miaka hii ya ubunge wake... lasivyo naye basi ni wale wale.... blah blah nyingi lakini no real change kwa wananchi.... jazba nyingi lakini no real change....
halima mdee kama mwakilishi wa wana kawe ndio mwenye haki ya kuiuliza serikali imefanya yapi pale jimboni kawe kuanzia uhuru mpaka leo hii.
Kwi! Kwi! Kwi ! Kwi! Teh! Teh! Teh! Mkuu halima mdee siyo polisi na wala siyo afisa aridhi
Mleta thread. Inaelekea hujui majukumu ya mbunge au bunge. Kwa kukusaidia tu, jukumu la mbunge ni kuisimamia serikali kutekeleza yale yanayopaswa kufanyika ili wananchi waishi vizuri... Sasa kama serikali yenyewe imejaa wagonjwa, muda wote wanawaza cd4, je unategemea nini??
Kama serikali siyo sikivu afanyeje? Ipe mamlaka serikali ya Chama chake uone moto kwi! Kwi! Kwi!sasa mkuu Mheshimiwa wetu yeye anafanya kazi kwa vigezo au viwango vya nchi gani maana yake hapa tanzania wananchi wote wanamlilia mbunge kwa kuishinikiza/pressure serikali ifuate ahadi hii au ile aliyoisema mbunge mwenyewe na serikali kuu kupitia kwa Rais/waziri/mkuu wa mkoa/wilaya/diwani na watu wa kata n.k
Na mwisho wa siku mbunge aliyeipa sana shinikizo serikali na kufanikiwa angalau kwa jambo moja au mawili wananchi wanaona ni success na vice versa. Hii kwa hapa kwetu Tanzania sijui sehemu nyingine.
Hata ahadi za serikali kuu, mbunge ndiyo anazipigia kelele kama unafauatiliaga bunge mwenzangu kwa sababu baada ya miaka 5 atapimwa kwa yale yaliyotekelezeka. Labda kama Kawe hakukuwa na ahadi au matatizo yeyote hapo sawa mh yuko huru kuongelea mambo mengine ya kichama na kitaifa zaidi.