umemchoka wewe na nani,,,,mwambie aliyekutuma kuloga hatujalaa///msavi uuuNi masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Acha ushakunaku mbona sisi huwa tunaonana naye mara kwa mara? na majuzi tulikuwa na tatizo kuna watu wamepewa kinyemela eneo la wazi kufanyia biashara tukaonana naye? Au haonekani jimboni kwenu?Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Halima Mdee ni mbunge wa Jimbo langu la Kawe.
halima mdee na cheni lake lile nasikia ni la imani fulani
Magamba MafiMfilwazi at work...nyie mmeitawala Kawe kwa miaka 50, je mmefanya nini cha maana? Halima MdeeNi masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Ni masikitiko kwa wana Kawe, Mbunge Halima Mdee umekuwa huonekani jimboni mwako hasa majira ya mchana. Umekuwa ni mtu wa kutoka alfajiri ili ukimbie kuonana na wapiga kura, unarudi usiku wa manane.
Kwa kweli waliokushauri uchukue ubunge wa jimbo walifanya makosa makubwa, uwezo wako ni kuwa MBUNGE wa Viti Maalum. Tunakushangaa zimebaki siku chache kwenda kikao cha BAJETI, Dodoma, HAUJATHUBUTU kupita kwa wapiga kura kukusanya maoni ili uyawakilishe BUNGENI. Kwa taarifa yako TUMEKUCHOKA SANA pamoja na chama chako!!
Hata sisi kwetu Boko hatujawahi kumwona mbunge wetu. Inatuuma sana aisee! Diwani wa Bunju ndo amegeuka kuwa diwani na mbunge wetu..... Nasikitika sana jembe langu limetutelekeza namna hii....Siku moja nilitembelea maeneo ya madale nikapita kijiwe kimoja nikaweka kijiwe na mie kujua nini kinaendela vijana wanalalamika kuwa tangu Halima apate Ubunge hajaonekana huko ,Na mmoja akakazia wewe mwache tu tunasubiri 2015
Halima please fanya fanya ziara kwa wapiga kura wako