What happens, sielewi..!

Kuna namna kwa huyu Eli79 najikuta sikubali matokeo. Halafu wax anakaa fungu gani? Manga ML kesho anavunja jungu naye sijui atakaa wapi? Mmmmhhh!!! Niishie hapa nisikuweke hadharani....lol

Dooooh!! Hivi ni vita vya uke wenza ama!!! Hao ulowaita wanahusikaje hapa?!! We huoni kwenye mada tumeshauriwa tujaribu different varieties ili kuzifanya ndoa zetu zizidi kudumu? wax hata sijui yuko wapi, sijui naye anachepuka huko! Kuhusu Manga ML nilikuwa hadi naanza kumsahau ujue!
 
Last edited by a moderator:

Baby cwez kuchepuka ww unanitosha tuu
 
Last edited by a moderator:
Yani atoto na everlenk mkikamata nyuzi za watu lazma mzichakachue tu, hata muwe serious vipi...hapo mwanzo everlenk umeanza vizuri, kaingia atoto kwisha habari.
Nnachofurahia tu ni kuwa napendwa na warembo wawili tena warembo haswa!
 
Last edited by a moderator:
Yani atoto na everlenk mkikamata nyuzi za watu lazma mzichakachue tu, hata muwe serious vipi...hapo mwanzo everlenk umeanza vizuri, kaingia atoto kwisha habari.
Nnachofurahia tu ni kuwa napendwa na warembo wawili tena warembo haswa!

Ovyoooo!
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kumshirikisha Mungu kwanza uone hajawahi kushindwa jambo lolote, kamwe hata Kwa hili. imani yako tu kwake!
 
Yani atoto na everlenk mkikamata nyuzi za watu lazma mzichakachue tu, hata muwe serious vipi...hapo mwanzo everlenk umeanza vizuri, kaingia atoto kwisha habari.
Nnachofurahia tu ni kuwa napendwa na warembo wawili tena warembo haswa!

Mmeanza nyie nikavumilia nikashindwa sasahivi natulia tulii as long as my lovely hubby warning me. Am gudo wife yoooo!!! Rabeka mume wangu nimekusikia......staki kugombania namba na atoto plzzzz, I beg yoo!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza nyie nikavumilia nikashindwa sasahivi natulia tulii as long as my lovely hubby warning me. Am gudo wife yoooo!!! Rabeka mume wangu nimekusikia......staki kugombania namba na atoto plzzzz, I beg yoo!!!!!!!!!!!!!


I hear you lovito wangu. Tuachane na michepuko hii, haitifikishi popote...
 
Last edited by a moderator:

Am in my early forties, refer what I said above ....my retirement plan 30 years to come, am planning to retire at 70s if God grant me life and health. (thats my plan)
 
Genetic disorder ,
you need to be reprogrammed.

Hizi case zipo kibao mtaani esp kwa wanawake ambao wanajishilingi na wanaofanya business au vijikazi vya kuongoza katika maofisi makubwa makubwa na baadhi ya vijidaktari..

Sorry kwa lugha ngumu lkn
 

Chukua huu ushauri hapa, ama mtafute huyu akuelezee vizuri, kama vile hili ndo jibu lako vile
 
Kuhusu suala la Mipango ya kimaisha kama Sababu kwenye hali yako. Si Kweli. Hapa Naona Matatizo Mawili Makubwa.. 1)Spiritual (kiroho) 2) Kimwli (physical) 1. Kiroho: yawezekana Kabisa U r attacked by demons.. Wanaita Majini Mahaba. Haya huwa yakikupenda yanakumiliki na kukufanya kama Mke wao.. Na hayaruhusu Mtu yeyote akukaribie (mkutane kimwli (sex)). Dalili Uanakua huna hamu na Mmeo kabisa umauona kama gogo, kuota ndoto Mbaya.. Unaota una sex na Mtu/Mnyama n.k. Dawa yake Ni Yesu Tu.. Ndugu yangu. Yeye ndiye Mwnye uwezo wa kukuponya kwenye hili.. Tafuta watumishi wa Mungu wa Kweli wakuaminika waeleze shida yako. Mungu atawatumia Utasaidika. 2) Physical (kimwili) sex z all abt Mind.. Ukiweza Kujijenga vizuri kifikra ukaanda Mazngira Mazuri kuanzia kwenye Fikra.. Utafanikiwa, pata Muda wakupumzika wa kutosha After Work. Andaa Mazingira Mazuri yatakayowashawish (conducive environment) eg. Miili yenu iwe Safi, kitanda,chumba Safi feni/ac nk. Tafuta Jumbe ambazo zinahusiana na tatizo lako uzisome na Uone wengine walitokaje kwenye hali kama hiyo.. Anointed Books, TV Shows, CD. Utapona.
 

Hilo laweza kuwa ndiyo tatizo, unatakiwa kuwa na kiasi na uwaze jambo ambalo lina ufumbuzi. Usipokuwa makini hamu itakujia mumeo atakapo pata mchepuko na akawa anakupotezea "THAMANI YA KITU HUONEKANA UKIKIKOSA"
 
kwanza pole kwa yanayokusibu maana ni mazito kwa kweli,yanakuhitaji muda wako na pia kusurrender baadhi ya mambo yako ili swala hili liweze kuwa sawa kati yenu.
nashukuru umeona na kukiri kuwa shida ni wewe,na mimi naamini kweli wewe ndo tatizo:-
*natamani nijuehistori yenu tangu uchumba hadi kufikia uamzi wa kufunga ndoa na hatimaye kuishi pamoja.
*kama hakukuwa na aina yoyote ya ushawishi ktk kufanya maamzi ya kuishi pamoja basi nahisi na mabadiliko ya hali zenu kimaisha(kwa maana ya status).
Inawezekana hali yako kimaisha imeimarika sn(kuwa na cheo kizuri ama kupata aina nzuri ya kazi) kuliko awali na kuwa juu sn ya mr wako,kwa hali hiyo unajikuta tu akili inakutuma kuwa huyu bwn si type,na hata hayo maisha unayoishi sasa ni sababu tu ya huyo mr ila si ya level yako,hivyo vitu hivi vimepelekea usikubaliane na hali kwamba hapo ndo pako,na kwamba unaweza kuhama toka ktk hali hiyo ila si kwa speed uidhaniayo wewe.
USHAURI:
#Km ni mkristu rejea kiapo chenu cha ndoa kuwa huyo na hakuna mwingine aliye bora zaidi ya huyo.
#inaonyesha hali yenu kimaisha ni njema japo mnao uwezo wa kwenda mbele ya hapo.Ni ushauri wangu kwako hayo yafanyike kwa kwasi ya utashi wenu wa pamoja,usitake mambo yaende tu vile unavyotaka ww aidha kwa kuona yapo ndani ya uwezo wako kifedha ama kwa kuwa na maono mazuri ya maisha yenu.
#ni kwa kuwa na mitoka ya mazingira mazuri kwenu hasa ya kuwastaajabisha kidogo,ukitumia wakati huo pia kumzosha kitu ambacho kitakuwa mbadala wa pombe ili hatimaye aweze kuondokana nayo.(kwa mitoko ya kawaida si mbaya mara mojamoja kwa pamoja mkatoka na familia rafiki kwenu)
MWISHO
hatuna maisha zaidi ya haya tuishiyo leo,tumia nafasi uliyopewa leo kumuonyesha na ajue kuwa unampenda na kumjali.maana haujui ya kesho.
'Pole kwa kukuchosha'
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…