What happens, sielewi..!

What happens, sielewi..!

Mkunde Original

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
807
Reaction score
647
Wapendwa MMU,

Poleni na hongera kwa msimu wa mfungo ambao unaisha leo na wale waliofungua leo pia polen na hongereni. Naombeni mnisaidie kujielewa maana sometimes I think I've been attacked by a devil or am growing old I don't know…

The issue is, recently, I have found myself I have lose interest in making love and having sex with my husband. It s about a year now I have noticed it, my husband is madly in love with me and is romantically grieving to have me in his arms but the outcome is, I don't have feelings for him at all.

Yaani nikiingia kitandani husby anakuwa ananihug, ananipapasa, anani kiss ananigusa hapa na pale ila mimi nakuwa sina response kabisaa mind haipo kwenye sex kabisaaa na nakosa nyege.

Sasa anajikuta yeye anaona anafanya one side love yaani mimi sirespond kwa vile anavyoniandaa. Mbaya zaidi inakuja pale anapotaka kuni kiss… nakosa hamu utakuta na kiss kidogo halafu najitoa mdomoni kwake as if nakosa pumzi.

Halafu my husby anakunywa pombe sio mlevi ila anakunywa, hata mie nilikuwa nakunywa ila sio kivileee actually sipendi pombe ni ule ushawishi tuu najikuta nakunywa glass moja ya wine basi. Sasa ukikuta yeye siku hiyo karudi kanywa mie nashindwa kukiss nae kabisa yaani naona kama ananipaka shombo.

Ukija kwenye kusex sina hamu kabisaa, now days kila mtu anaenda kazini kivyake na gari lake njiani mie naenjoy mziki sana na sioni kama nam, miss husby hata.

Nimegundua kuna shida na shida iko kwangu, nisaidieni niitatueje hii shida maana kiukweli msema ukweli mpenz wa Mungu sina mchepuko wala sina kidumu wala mpango wa pembeni au kusema labda kuna mtu anani keep busy na namuwaza yeye all the time sina.

Ila as time goes najikuta nina mambo mengi ya kuwaza kuhusu life, najikuta nawaza retirement planning though ni 30 years to come, naandaa my second home dream house maana nyumba tunayoishi sasa hivi tulijenga kwa haraka ili tuhame kwenye kupanga iko modern but not dream house.

Yaani najikuta ninamipango mingi ambayo nikimshirikisha yeye anaitikia tuu haoneshi kuifanyia kazi. Hivo najikuta naendelea kuifanyia kazi on my own. Je hii ndo inayonifanya nakosa hamu ya kufanya mapenzi na husby?

Ni mwaka sasa sija anzisha mie kuomba penzi kwa husby na ameniambia hiyo inamuuma anawish nianze kumuomba penzi.

Au nimelogwaa???

Tangu aanze kunilalamikia inaniumiza kichwa, nahitaji suluhisho nirudi kwenye hali ya kuwa na nyege.

Hivi kuna ugonjwa wa kukosa nyege?

Dawa yake ni nini?

Wenye ndoa na walio kwenye mahusiano muda mrefu naomba mnipe uzoefu wenu.

Niko serious, naomba msijekejeli tafadhali.
Wenu,

Mkunde.
 
Duuu pole mdada jaribuni kubadili mazingira ya faragha siyo lazima iwe nyumbani au chumbani tuuu
naomba niulize hiyo ndoa yenu ina miaka mingapi?kwanza afu ntarudi
 
Pole dada,,,,,,,weka mawazo yako pale ktk hilo tendo,,pia nenda kwa wataalamu wa mahusiano na wa saikolojia watakupa msaada,,,pia mwaweza badilisha mazingira ya kusex eg kutoka out
 
Shida uliyonayo ni kubeba majuku ya mawazo ya mumeo wakati yeye yupo.
Relax dream house zitakuja tu mkiwa na furaha na ukiendelea hivyo tu dream house itajengwa kwa mchepuko ambao kwa story ilivyo wewe ndio una creat
 
Mkunde Original

Duh pole . ...... Kama harufu ya pombe ndio inakufanya ikuondolee hamu hapo inabidi umweleze ukweli tu ........ siku ya kukutana nae asiguse pombe siku hiyo ........ Ila kama bado hamu bado hamna hapo inabidi ukaone wataalam inawezekezana ni tatizo la kitabibu nikimaanisha homoni za kuamsha hamu ya tendo zimepungua
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna ugonjwa wa kukosa nyege? Dawa yake ni nini?

You sound eerily familiar to me...but I'll leave that alone, for now.

For starters, how old are you? The reason I ask is because if you are somewhat of an advanced age you could be undergoing menopause where your estrogen levels drop significantly during the transition period.

So your hormones could be out of whack and a hormone replacement therapy could do the trick.

But then again you just said it yourself that as time goes by you find yourself with a whole hell of a lot things in your mind. So stress could be the culprit.
 
Pole sana mumy ni mpito tu katika ndoa,huwa inatokea kuna vipindi tofauti tofauti. Mimi binafsi nionavyo katika kesi yako tatizo Lipo kwenye ubongo wako kiasi linaathiri mfumo mzima wa mwili wako.

Kikubwa umeyapa maisha kipaumbele zaidi kuliko sexy life, haupo happy na hali ya sasa mnayoishi, unatamani uende mbele zaidi na zaidi,moyo wako wote na akili yako yote ni kuwa na maisha fulani uyatakayo na sometimes unaona mambo hayaendi sawa kiasi kwamba inakuchanganya huoni lingine zaidi ya kutimiza ndoto zako.

Nini basi la kufanya? Jambo la kwanza be content with what you have,appreciate the way you are, badilisha namna unavyofikiri ili uweke kubadilika namna unavyoishi. Elewa kila jambo na wakati kuna wakati unahitaji kuwaza maisha na mambo yake na kuna wakati unabidi mwili uupe haki yake.

Jambo lingine usiwe mbinafsi kupitiliza, elewa nafasi ya mume wako katika maisha yako,labda nikuambie tu asilimia kubwa ya wanaume ni wazito sana kukubali ushauri wa mkewe katika swala la maendeleo,lazima aupitishe kwenye chekecheo lake mpka ajiridhishe kwamba hili linafaa wakati mwingine huchukua muda,huwa hawatuamni sana kwenye maamuzi/maoni yetu mpaka wastuck mahali ndo anakuja tena kwako kuomba ushauri. So inabidi uende naye taratibu kumuaminisha ndoto ulizonazo wapi unapataka,na hili husindikizwa na moyo wa upendo na hali ya kuwa karibu naye zaidi katika mapenzi mazito,ataziaminije ndoto zako ilihali haupo karibu naye?

Kuwa karibu zaidi na mume wako na huko ndiko feelings zitakuja na katika huo ukaribu ndiko tunakoshirikishana mambo yetu,mfano kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja n.k, katika hali hiyo ndipo mabussiness idea yanaposhukaga,maplan ya kufa mtu yanapotokeaga,ndiko the happiest moment you can explain what you have.

Neno la Mungu linatuambia wawili ni afadhali kuliko Mmoja, hayo yote uyatamaniyo yatakuwa ni smooth iwapo utakuwa karibu zaidi na mume wako,utashangaa hutaamini, jua huyo unayeishi naye ni mtu muhimu sana kwa maisha yako ni life partner wako,Mpe uthamani wa hali ya juu,ni kila kitu katika yote uyahitajiayo,kama kuna tofauti tafadhali rekebisha tofauti hizo na ufurahie sexy life,katika ndoa sexy life inapokuwa nzuri hata maendeleo ya kiuchumi yanaponawiri zaid. Mshirikishe Mungu katika yote atakuwezesha yeye ni mkuu katika yote.
 
Very familiar indeed
 
Kuna mama aliwahi niambia ana same problem, kamchoka mumewe bila sababu ya msingi, duuuuuh!!
 
Kuna mama aliwahi niambia ana same problem, kamchoka mumewe bila sababu ya msingi, duuuuuh!!

Ulimpa dawa gani?
watu huchoka daily routine
akipata mchepuko anasisimka
 
jiweke kwenye nafasi yake ,, halafu ungechukua uamuzi gani? huo uamuzi utakaochukua jua the same itakuwa na kwako...

umemchoka wewe
 
Kwa kuongezea kwa everlenka achana na mambo ya kulala kila mtu na shuka au blanket yake na nunua kitanda mbili na nusu baadala ya futi 6 kwa sita. Msivae night dress na Joto la mwili litasaidia kurudisha mapenzi
 
Pole sana mumy ni mpito tu katika ndoa,huwa inatokea kuna vipindi tofauti tofauti. Mimi binafsi nionavyo katika kesi yako tatizo Lipo kwenye ubongo wako kiasi linaathiri mfumo mzima wa mwili wako.

Kikubwa umeyapa maisha kipaumbele zaidi kuliko sexy life, haupo happy na hali ya sasa mnayoishi, unatamani uende mbele zaidi na zaidi,moyo wako wote na akili yako yote ni kuwa na maisha fulani uyatakayo na sometimes unaona mambo hayaendi sawa kiasi kwamba inakuchanganya huoni lingine zaidi ya kutimiza ndoto zako.

Nini basi la kufanya? Jambo la kwanza be content with what you have,appreciate the way you are, badilisha namna unavyofikiri ili uweke kubadilika namna unavyoishi. Elewa kila jambo na wakati kuna wakati unahitaji kuwaza maisha na mambo yake na kuna wakati unabidi mwili uupe haki yake.

Jambo lingine usiwe mbinafsi kupitiliza, elewa nafasi ya mume wako katika maisha yako,labda nikuambie tu asilimia kubwa ya wanaume ni wazito sana kukubali ushauri wa mkewe katika swala la maendeleo,lazima aupitishe kwenye chekecheo lake mpka ajiridhishe kwamba hili linafaa wakati mwingine huchukua muda,huwa hawatuamni sana kwenye maamuzi/maoni yetu mpaka wastuck mahali ndo anakuja tena kwako kuomba ushauri. So inabidi uende naye taratibu kumuaminisha ndoto ulizonazo wapi unapataka,na hili husindikizwa na moyo wa upendo na hali ya kuwa karibu naye zaidi katika mapenzi mazito,ataziaminije ndoto zako ilihali haupo karibu naye?

Kuwa karibu zaidi na mume wako na huko ndiko feelings zitakuja na katika huo ukaribu ndiko tunakoshirikishana mambo yetu,mfano kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja n.k, katika hali hiyo ndipo mabussiness idea yanaposhukaga,maplan ya kufa mtu yanapotokeaga,ndiko the happiest moment you can explain what you have.

Neno la Mungu linatuambia wawili ni afadhali kuliko Mmoja, hayo yote uyatamaniyo yatakuwa ni smooth iwapo utakuwa karibu zaidi na mume wako,utashangaa hutaamini, jua huyo unayeishi naye ni mtu muhimu sana kwa maisha yako ni life partner wako,Mpe uthamani wa hali ya juu,ni kila kitu katika yote uyahitajiayo,kama kuna tofauti tafadhali rekebisha tofauti hizo na ufurahie sexy life,katika ndoa sexy life inapokuwa nzuri hata maendeleo ya kiuchumi yanaponawiri zaid. Mshirikishe Mungu katika yote atakuwezesha yeye ni mkuu katika yote.

Mke mwenza leo hata sikuwezi, good advise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom