Tuliosomea Dar es salaam miaka ya 90's, especially mid to late-90's, bila shaka tunafahamu Mzizima Secondary School walivyokuwa wanatuburuza kielimu! Bado namkumbuka dada mmoja wa Kiasia mwaka 1996 jinsi ambavyo alituburuza kwenye Mock Exams... In short, sio kwamba walikuwa ni wakali wa mjini peke yake bali Mzizima ilikuwa ni among the best school in Tanzania.
Nakumbuka mwaka juzi nimamuuliza mdogo wangu performance ya Mzizima... akanishangaa! Akanishangaa kwa kile alichodai kwamba Mzizima si moja ya shule ambayo unaweza kuzungumzia matokeo yake kwavile hata kwenye kumi bora Dar haiwezi kuwepo! Picha ya kwanza niliyopata ni kwamba mdogo wangu haifahamu Mzizima au anaichanganya na Shaban Robert! Kwavile nilikuwa na sababu za msingi kabisa za kutaka kufahamu matokeo ya Mzimama, nikalazimika kuingia internet... NIKASHANGAA!!! Kiukweli sikuridhika kabisa, nikaamua kuangalia matokeo ya miaka 3 nyuma... nikagundua ni yale yale! Hata matokeo ya sasa ya Form VI, nalazimika hatimae kuaminini kwamba Mzizima niliyokuwa naifahamu sio hii... hii ya sasa, hata kama Ada ingekuwa bure, si shule ya kupeleka mtoto! WHAT HAPPENED TO THIS SCHOOL? Au imebadilishwa jina wakati mimi naitafuta kwa jina la zamani?
Ni teknolojia inawaharibia, au nini? Nahusisha hilo la teknolojia coz' nakumbuka miaka 3 iliyopita nikiwa na Mama mmoja wa Kiasia(tumezoea kuwaita Wahindi), nilikuwa na kazi ya ziada ya kumshawishi mwanae mwenye umri, I think 10-12 years. Dogo tayari ana laptop lakini anataka modem with fully monthly internet bundle. Mama wa watu alikuw atayari kwa yote hayo but with one condition... no accessibility to Facebook! Hapo ndipo ulipozuka mtiti na dogo... kumbe yeye lengo la kutaka full bundle ni kwa ajili ya FB!!! Je, inawezekana inawezekana hiyo ikawa ni moja ya sababu za kufutika kwa Mzizima Secondary School? Anyway, I hope humu jamvini wapo waliosoma Mzizima, ama miaka ya sasa au ile ya zamani... tatizo ni nini?