What Happened To Me?

What Happened To Me?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Zamani I never missed coming to JF, Zamani I never stopped posting and commenting, Zamani I never missed liking and sending PMs, Zamani I used to have friends in here, Zamani I used to have people who admired me for what I used to post or comment. But nowadays sijui what happened to me! Is it because JF bores now than Zamani? Or there are many stupid people than hapo Zamani? Or me ndio nimebadilika? Or ............ What Happened to me? I miss my old JF though!
 
Kama sio umehamia facebook basi waliokuwa facebook wamehamia huku...
 
Kama sio umehamia facebook basi waliokuwa facebook wamehamia huku...
Nilikuwa Facebook tangu mwaka 2006, ikaniboa tangu mwaka 2010, possibility ni kwamba kile kilichoniboa facebook Enzi hizo maybe ndicho kimehamia huku
 
Nilikuwa Facebook tangu mwaka 2006, ikaniboa tangu mwaka 2010, possibility ni kwamba kile kilichoniboa facebook Enzi hizo maybe ndicho kimehamia huku
Hiyo ni kweli maana madogo wa fb wamevamia huku kwa kasi basi mambo shaghalabaghala....
 
COME BACK PLEASE.................

Kuna some ------ wako humu ndio wanachosha sana
 
Nam quote mdau mmoja , sijui FaizaFoxy yule alisema:

Sikuizi wengine JF tunaingia kwa mazoea tu.

So mtoa mada, vumilia tu, upost na kucomment km kawaida. Just kwa mazoea tu
 
Last edited by a moderator:
Oooh my pole sana.....kwa mtazamo wangu nahisi upo sahihi tena sana
Hili ni jukwaa huru na kila leo lina watu wapya na labda wale ulowazoea nao huwaoni tena au kwa nadra ndo mana unakuwa bored kuingia humu
 
Hiyo ni kweli maana madogo wa fb wamevamia huku kwa kasi basi mambo shaghalabaghala....

ukisema hvyo utakuwa unawatimua wageni!wanakarbswote ila wafuate utaratib wa huku!mabaya ya huko wayaache huko huko!
 
Back
Top Bottom